BIDHAA
# *FOREVER LEAN* Hii inasaidia sana kupunguza unyonywaji wa mafuta na wanga. Imetokana na matunda yanayopatikana kwenye mimea ya cactus yanayojulikana sana kama Indian Fig,ambayo yana nyuzi nyuzi(fiber) zinazosaidia sana kufyonza mafuta kwa kiwango kikubwa. Pia imechanganywa na maharage meupe (white kidney beans) yenye protein inayozuia ufyonzwaji wa sukari ktk utumbo mdogo. Pia ina Chomium Trichloride ambayo ni madini muhimu yanayorekebisha sukari kwenye damu,ikifanya kazi kama GTF(Glucose Tolerance Factor) ambayo inasaidia sana metabolism. Kwa ujumla bidhaa hii inasaidia kudhibiti Uzito kuongezeka, na ili ifanye kazi vizuri ni muhimu kufanya mazoezi wakati wa kuitumia. *Matumizi* Meza kidonge kimoja na maji kabla hujaanza kula. Unaweza kutumia mpaka vidonge vinne kwa siku. *Faida* 🔥Inasaidia kuzuia ufyonzwaji wa mafuta,sukari, na wanga hivyo kuzuia *UNENE* 🔥Wanaopenda kula nyama Ice cream, na chocolate au chochote chenye mafuta na sukari tumia kabla hujala. ...