Posts

Showing posts with the label Mafanikio

SABABU ZAKUTOYÀFIKIA MAFANIKIO

SA BABU 20 ZITAKAZOKUFANYA USHIDWE KUYAFIKIO MAFANIKIO YAKO KATIKA MAISHA                        Habari ndugu msomaji wa makala zangu, awali ya yote nikupongeze kwa kuendelea kufuatilia makala hizi, leo tutaanza mada yetu yenye kichwa cha habari hapo juu kwakuwa mada ni ndefu zaidi nitakuwa naikatisha ili kukupa muda wa kutafakari na kuyaweka kwenye matendo Yale ambayo tutakuwa tunajifunza pamoja, nakusihi uendelee kujifunza pamoja nami, tutajifunza pamoja sababu ambazo zitakufanya ushindwe kufikia mafanikio yako,kila mtu anatafsri yake katika mafanikio kwaiyo wewe utatumia kulingana na tafsiri yako. japo zipo nyingi lakini hizi ni miongoni mwao. 1.KUFATA HISTORIA YA FAMILIA Moja ya sababu ambayo inawafanya watu wengi kushindwa kufanikiwa katika maisha ni kufata historia ya familia yake, asilimia kubwa ya sisi watanzania tumetoka familia masikini, zisizokuwa na elimu kubw...