Mwanaume kudharauliwa ni uzembe
Ipo hivi mwanamke hata akikuzidi elimu, kipato au chochote kile sio sababu ya yeye kukudharau, wanaume tumepewa siraha directly kutoka kwa Mungu tangu siku ile ambapo nucleus ya sperm ilipoungana na nucleus ya ovum through fertilization na kuunda male zygote, silaha tuliyopewa ni KUTAWALA, Biblia inasema wazi pale ambapo Mungu anampa adhabu Eva alimwambia hivi”tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye ATAKUTAWALA”, Hata mtume Paulo ktk nyaraka zake alisema ”MWANAUME AMPENDE MKE WAKE KAMA KRISTO ANAVYOLIPENDA KANISA” alafu akasema kwa wanawake ”MWANAMKE ‘MTII’ MUMEO KAMA UNAVYOMTII KRISTO”, unaweza ona mwenyewe utofauti wa ‘kupenda’ na ‘kutii’, kutii ni kuwa chini ya mamlaka inayokupa amri. Sasa wanaume wengi siku hizi wanakosa hayo mamlaka ya’KUTAWALA’ na sababu kubwa ni kutojiamini tu, wewe ni mwanaume, wewe ni kichwa acha kupelekwa pelekwa, ipo hivi unatakiwa kutoa maamuzia ambayo mke wako anatakiwa either afu...