PROSTATE CANCER(TEZI DUME)

_*AFYA YA MWANAUME*_

Na Emmauel Mputa *JALI AFYA YAKO*

_*LEO NATAKA NIIZUNGUMZIE CHANGAMOTO YA SARATANI YA TEZI DUME.*_

SARATANI ya TEZI DUME inashika NAFASI YA TATU kwa kusababisha VIFO vinavyotokana na KANSA kwa WANAUME duniani.

Ugonjwa huu huwapata WANAUME wenye UMRI wa kuanzia MIAKA 45 na kuendelea, hata hivyo, SARATANI ya TEZI DUME kwa sasa inawapata sana WANAUME kuanzia MIAKA 25.

Kwa ufahamisho tu ni kwamba NENO SARATANI ni JINA la UGONJWA ambalo hutokea wakati CHEMBE HAI au SELI katika sehemu fulani ya MWILI zinapoanza KUKUA bila kufuata UTARATIBU wa MFUMO WA MWILI na kutengeneza VIJIUVIMBE vidogo vidogo.
Kwa kawaida SELI huwa ZINAJIGAWA, KUPEVUKA na baadaye ZINAKUFA.

UTOKEAJI wa SARATANI ni pale ambapo SELI zilizotakiwa KUFA HAZIFI, zinaendelea KUISHI wakati HUOHUO zile MPYA zinazidi KUZALIWA.

UKWELI ni kwamba WANAUME wote WANAZALIWA na TEZI DUME lakini baada ya BALEHE, TEZI DUME huongezeka UKUBWA mara MBILI.
Na ikifika MIAKA 30 TEZI DUME huanza KUKUA haraka zaidi.Hii ni kwa sababu UKUAJI wa TEZI DUME huenda SAMBAMBA na UMRI.

Kuna VIHATARISHI vingi vinavyochangia MWANAUME kupata SARATANI ya TEZI dume.

Vifuatavyo ni baadhi yake:-

-UMRI. Nafasi ya kupata SARATANI ya TEZI DUME huongezeka sana hasa ukifikia UMRI wa karibu MIAKA 50 na kuendelea.

-NASABA ni kihatarishi kingine ambapo WANAUME wenye HISTORIA ya tatizo hili kwenye FAMILIA ZAO,wale ambao MMOJA WA NDUGU ZAO wamewahi kuugua UGONJWA huu, huwa katika HATARI ya kupata SARATANI hiyo kutokana na KURITHI JENI za UGONJWA huo.

-SUALA jingine ni LISHE ambapo WANAUME wanaopenda KULA NYAMA(red meat) na WALAJI wa CHAKULA chenye kiasi KIKUBWA cha MAFUTA hasa ya WANYAMA, huwa katika HATARI KUBWA ya kupata SARATANI ya TEZI DUME.

-Pia WATAALAM wanatumbia kuwa,WANAUME wasiopenda kufanya MAZOEZI,WANENE na WENYE UPUNGUFU wa VIRUTUBISHO vya VITAMIN E pia wako kwenye HATARI ZAIDI ya kupata SARATANI ya KIBOFU cha MKOJO.

-WANAUME wengine walio katika HATARI KUBWA ya kupata SARATANI ya TEZI DUME ni pamoja na wale wenye ASILI ya AFRIKA(Weusi), ikilinganishwa na WAZUNGU.

-WAKULIMA wanaotumia aina fulani ya MBOLEA za KEMIKALI, wanaofanya KAZI katika VIWANDA vya kutengeneza MATAIRI na WACHIMBAJI MADINI, hususani aina ya cadmium

DALILI ZA SARATANI YA TEZI DUME

Katika HATUA zake za AWALI, dalili za saratani ya TEZI DUME hazitofautiani na zile za KUVIMBA kwa TEZI DUME au BPH. Dalili hizo ni pamoja na:-

1.Kupata SHIDA wakati wa kuanza KUKOJOA.

2.Kutiririka kwa MKOJO baada ya KUMALIZA kukojoa.

3.Kukojoa MKOJO wenye mtiririko DHAIFU.

4.Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za USIKU.

5.KUJIKAKAMUA wakati wa kukojoa na KUSHINDWA kumaliza MKOJO wote.

6.Kutoa MKOJO uliochanganyika na DAMU.

KITAALAM imethibitika kuwa endapo MWANAUME HUYU hasa mwenye MIAKA kuanzia 30 atapata VIRUTUBISHO maalum vya VITAMINI na MADINI anaweza KUEPUKA CHANGAMOTO HII.

_*KUPITIA BIDHAA ZETU ZENYE WINGI WA MADINI NA VITAMINI MAALUM .TUNAWEZA  KUMUEPUSHA MWANAUME KUPATA TATIZO HILI.*_

_PIA KWA WALE AMBAO TAYARI WANALO TATIZO HILI NJOO TUKUSAIDIE KUONDOKANA NA CHANGAMOTO HII KWA  KUKUPONYA BILA KUFANYIWA UPASUAJI._

_*VIRUTUBISHO VYETU  vina UWEZO MKUBWA wa KUPAMBANA na SARATANI ya TEZI DUME .ZIKIINGIA MWILINI, BIDHAA ZETU HUENDA KUONDOA UVIMBE NA KUUA ZILE SELI ZA SARATANI ZILIZOANZA KUZALIWA.*_

_WANAUME_ waliopo HATARINI zaidi ni kuanzia MIAKA 45 na kuendelea. Kwani katika kila WANAUME 6 inakadiriwa kuwa MMOJA atakuwa na SARATANI HII.

Kwa Maelezo zaidi jinsi ya kupata BIDHAA ZETU Piga au WhatsApp katika namba zifuatazo:-

*+255 767 962 720 Whatsapp*
*+255 625 748 804*
*+255 692 720 770*

*_🍃JALI AFYA YAKO MWANAUME🍃_*

Comments

Popular posts from this blog

GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE

TOFAUTI YA DHAMBI,MAKOSA NA UOVU.

Madini ya Zink na Ugumba