UANDAAJI CAKE
CAKE SIMPLE YA CHOCOLATE : Kwa hisani ya laylbakes Mahitaji: 🔸Unga wa ngano vikombe 2 🔸Sukari vikombe 2 unaweza punguza kidogo 🔸Cocoa 3/4 kikombe 🔸Baking powder vijiko 2 1/4 vya chai 🔸Baking soda 1/2 kijiko cha chai 🔸Chumvi kijiko 1 cha chai 🔸Maziwa ya maji kikombe 1 🔸Mafuta ya kula 1/2 kikombe 🔸Vanilla kijiko 1 1/2 cha chai 🔸Mayai 2 🔸Maji moto 3/4 kikombe NAMNA YA KUTAYARISHA: Hatua ya 1: 1. Washa oven joto 180°C. Paka chombo chako cha kuokea mafuta au siagi. Weka pembeni Hatua ya 2: 2. Changanya mahitaji yote A katika bakuli kisha piga vizuri hadi mchanganyiko uwe laini Hatua ya 3: 3. Tia Maji moto kisha piga tena kidogo tu kuchanganya. (Mchanganyiko wa keki utakuwa mwepesi usihofie) Hatua ya 4: 4. Mimina mchanganyiko wako katika chombo ulichoandaa kisha oka kwa muda wa dk 30-50 au hadi kiasi ukichoma kijiti kati kinatoka safi. (Unaweza oka kwa mkaa pi...