BIDHAA

# *FOREVER LEAN*
Hii inasaidia sana kupunguza unyonywaji wa mafuta na wanga. Imetokana na matunda yanayopatikana kwenye mimea ya cactus yanayojulikana sana kama Indian Fig,ambayo yana nyuzi nyuzi(fiber) zinazosaidia sana kufyonza mafuta kwa kiwango kikubwa. Pia imechanganywa na maharage meupe (white kidney beans) yenye protein inayozuia ufyonzwaji wa sukari ktk utumbo mdogo.
Pia ina Chomium Trichloride ambayo ni madini muhimu yanayorekebisha sukari kwenye damu,ikifanya kazi kama GTF(Glucose Tolerance Factor) ambayo inasaidia sana metabolism.
Kwa ujumla bidhaa hii inasaidia kudhibiti Uzito kuongezeka, na ili ifanye kazi vizuri ni muhimu kufanya mazoezi wakati wa kuitumia.

*Matumizi*
Meza kidonge kimoja na maji kabla hujaanza kula. Unaweza kutumia mpaka vidonge vinne kwa siku.

*Faida*
🔥Inasaidia kuzuia ufyonzwaji wa mafuta,sukari, na wanga hivyo kuzuia *UNENE*
🔥Wanaopenda kula nyama Ice cream, na chocolate au chochote chenye mafuta na sukari tumia kabla hujala.
🔥Inarekebisha blood suger.

🕴🏼: *NATURE MIN*
Nature min  ni bidhaa iliyona madini mengi yanayopatikana chini ya bahari, kama vile Calcium,Phosphorus,Magnesium,Iron,Zink,Copper,Iodine,Selenium na Venadium.
Asilimia 4 ya mwili wa binadamu ni Madini,mwili hautengenezi madini hivyo inatupasa kula madini ili mwili uweze kufanya kazi vizuri.

Nature min ina madini muhimu ambayo husaidia kuboresha meno,mifupa na pia kuna potasium na sodium ambazo zinasaidia ujengaji wa chembechembe hai na kudhibiti ute unaosaidia kutengeneza genes na hormones. Vile vile kuna Iron inayofanya kazi kubwa ya kuongeza damu na inafanya kazi na enzymes na protein kusaidia kuupa nwili nguvu.

_Madini_ pia ni ya muhimu kwa kusaidia unyonywaji wa virutubisho,kulekebisha tissue na mfumo wa fahamu.
*MANUFAA.:* Huimarisha mifupa,meno,misuli na mfumo wa uzazi.

🕴🏼: Forever litra with AMINOTEIN.                           Forever litra with aminointein , ni bidhaa itokanayo na soya,yenye protein muhim kwa kujenga mwili ,Ina imarisha module, kusaidia kazi za ubongo kama kuona vizuri , kutuma ujumbe kwenye organ zingine,kutembea.  Pia inasaidia enzymes,hormones kufanya kazi vizuri. Itakuwezesha kuupa mwili wako chakula kikamilufu bila kuindia ladha ya asili.                  

Kuna protein zaidi na carbohydrate kidogo hutumia kupunguza uzito,kwa kuchanganywa na maziwa yasiyo na mafuta,na pia kwa kuondoa Milo miwil ya siku na kunywa kinywaji hiki ikitumiwa na Aloe Vera gel,bee pollen na garcinia pamoja  na mazoezi kwa dakika20 husaidia kupungza uzito.
Ikichanganywa na maziwa yenye mafuta-hufaa sana kwa wasio na muda wa kula, wasio na hamu ya kula,walio wagonjwa, wanaotaka kuongeza mwili,waliotoka kwe operation ili kujenga  mwili na virutubisho na kamili.
Inaweza kuchanganywa na juisi ya matunda ya asili,maziwa na ukipenda unaweza kuongeza  asali.

MANUFAA:INAFAA KWA KUBORESHA AFYA STAILI YA MAISHA,KUDHIBITI UZITO.

INAFAA KWA WALE WASIO NA HAMU YA KUlA,PIA INAFAA KWA WATOTO WADOGO.

🕴🏼: HIZI NDIZO FAIDA NILIZOPATA BAADA YA KUNYWA ALOE VERA GEL YA FOREVER

- Ina Amino acids Zaidi ya 18, ambapo 7 kati ya hizo ni muhimu sana katika ukuwaji wa chembe chembe za uhai katika mwili wa binadamu...
- Inasaidia mwili wa mwanadamu kupambana na matatizo mbalimbali katika mwili kama ilivyonisaidia tatizo langu la allergy pia imesaidia.
• Matatizo ya mmengenyo wa chakula napata choo bila shida...
• Acid kuzidi tumboni.
• Kurutubisha ngozi, kwa kuondoa seli zilizokufa na kutengeneza mpya..
• Kuondoa vimbe mbali mbali ndani na nje ya mwili.
• Kuongezea mwili nguvu na kinga
• Kusafisha sumu zinazotokana na vyakula, madawa, pombe, sigara, msongo wa mawazo (stress) n.k.
• Imeimarisha mzunguko wangu wa damu, mishipa ya damu na kuyeyusha damu na mafuta yaliyoganda mwilini hivyo kunikinga na kupalalaiz
• Ni lishe tosha katika mwili wa mwanadamu...
Inasaidia sana kuondokana na maradhi mwilini...kwasababu vijidudu vibaya viletavyo maradhi hupendelea mazingira yenye ACID Tindikali..katika mwili...na Aloe vera yenyewe ina leta hali ya U - ALKALINITY mwilini na kusababisha vimelea viharibifu visiweze kustawi na kusabisha maradhi...

🕴🏼: *MALTI-MACA*
Wanawake wa nchi ya Peru wanaitumia sana maca ili wawe na nguvu,hamu ya tendo la ndoa,na uwezo wa kuzaa, ina protein nyingi mfumo wa amino acids na virutubisho muhimu vinavyosaidia kazi ya kuamsha ishara za hamu ya tendo la ndoa
*FAIDA*
🔹Ina hamu ya tendo la ndoa kwa kina mama na kwa kina baba kwa 180%,inaongeza nguvu na stamina.
🔹Inasaidia kuondoa msongo wa mawazo(depression)
🔹Inasaidia kuongeza idadi ya mbegu za kiume(sperm count) kwa 200% na kuongeza uwezo wa mbegu kuogelea vizuri(mobility)
🔹Inasaidia sana kurutubisha mayai kwa wanawake
🔹Inasaidia kuondoa madhara ya kukoma hedhi - menopause(homoni na kusikia joto kali - Hot flashes)
Inasaidia kupromote matumizi ya glucose kwenye damu kubadilishwa kuwa nguvu na sio kugeuzwa na kuwa mafuta
🦍Hii ni nzuri kwa ajili ya kuongeza stamina ya mwili

🕴🏼: *FOREVER ALOE MPD*
Hii ni sabuni inayoweza kutumiwa kwa ajili ya kusafisha na kuua vijidudu.
Inamatumizi ya kusfishia vitu vingi kama vile.:-
_Kufulia nguo,kuoshea vyombo,kudekia sakafuni,kusafishia masink,mabafu,kapeti na marumaru(tiles)._
_Husafisha vyombo vizuri sana na kuviacha vinang'ara, na husaidia kuzuia sink lisizibe na mafuta._
_Husafisha grisi,huondoa madoa na haikwangui sakafu wala kuchubua mikono._
_Hutumika kuoshea magari hapa sasa ndipo utapenda maana hulifanya lisifubae na lionekane jipya kila siku._
*MPD*Haina phosphorus na ni rafiki wa mazingira.
Ina *Alovera* hivyo hulainisha mikono na nguo
*Matumizi*
Mpd 60ml kwa lita 3.78 chupa ya mpd ina lita 1.89,hivyo chupa moja ya mpd itatoa lita 119 ambazo ni takribani ndoo 6 kubwa zenye ujazo wa lita 20.
Hivyo Mpd ni economical ( _ina faida kulingana na pesa uliyonunulia, pia hutumika muda mrefu._ )
Hebu jipatie *mpd* yako kwa matumizi yako
Oda +255767962720
Au +255625748804

🕴🏼: *FIELDS OF GREENS*
_Hii ni mbadala wa mboga za majani ambazo zinaongeza damu,kuboresha mzunguko wa damu,pamoja na kudhibiti kiasi cha sukari mwilini._

Mara nyingi Milo yetu huwa na mboga za majani kiasi kidogo sana,na wakati mwingine zinakua zimepikwa kwa muda mrefu na kupunguza viini lishe.
🥇Fields of greens inatokana na majani ya shairi na ngano changa,alfalfa na cayenne.
Pia kuna betacarotine,enzymes, amino acids,vitamins na chlorophil. _Hizi zote zinasaidia mwili usipatwe na athari za mionzi ya jua na seli za cancer na kirekebisha kiwango cha sukari kwenye damu._
🥈Cayenne pepper - Hii inasaidia kuboresha mzunguko wa damu na mmeng'enyo wa chakula.
🥉Chromium Picolinate - inasaidia uwezo wa mwili  kutumia insulin na hivyo kuthibiti kiwango cha sukari kwenye damu
📍Alfalfa ina komaa na kufikia futi 130 chini hivyo INA madini mengi yanayosaidia unyonywaji wa virutubisho pia husaidia kutuliza morning sickness kwa wajawazito, pia ina vitamin A,B6,E na K ambazo zinapunguza Cholesterol.

Comments

Popular posts from this blog

GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE

TOFAUTI YA DHAMBI,MAKOSA NA UOVU.

Madini ya Zink na Ugumba