JE UNAPATA CHANGAMOTO YA MENO AU UNAPATA TATIZO LA MENO MARA KWA MARA??


SOMA HAPA NA JIULIZE MASWALI HAYA!

1. Kwa nini meno yanauma wakati mwanzo hayakuwa yanauma?
2. Kwa nini unang'oa jino kisha tatizo lilelile linahamia jino lingine??
3. Kwa nini kinywa chako hata ukipig
a mswaki bado unatoa harufu mbaya?
4. kwa nini ukipiga mswaki fizi zinatoa damu?

Meno ni muunganiko wa mfupa wa jino, Fizi na Mishipa. Mara nyingi watu wengi huwa pale wanapoumwa na jino wanakimbilia kung’oa jino eti dawa ya jino kuling’oa jambo ambalo si kweli.
Tambua, unapoenda King'oa jino, unang'oa mfupa wa jino ila maradhi umeyaacha ktk fizi na mishipa ndani ya kinywa.
Fahamu kuwa kwenye kinywa cha mwanadamu kuna bakteria wanaoishi mdomoni wanaitwa NORMAL FRALER. Bakteria hawa ndio wanaotengeneza ute wenye Acid unaolainisha chakula kwa haraka mdomoni.
Lakini wanasababisha ugonjwa unaoitwa GINGIVAITES, ugonjwa huu husababisha fizi kutoa damu haswa unapopiga mswaki, lakini ukiachwa ukawa sugu unasababisha ugonjwa mwingine sugu  MACHODIFECE,
Ugonjwa huu husababisha na hufanya meno kuoza ama kutoboka kutokana na bakteria.
AFINOTOBALASAD ni bacteria ambao huwa wanaingia ndani kwenye fizi kwa ajili ya kula damu. Hapo ndipo mtu hupatwa na tatizo la kuumwa na jino au meno.
ADUI WA MENO YETU NI FLUORIDE.
Flouride ni nzuri ila inatakiwa kuwa katika kiwango maalum, ikizidi ni mbaya kwa afya.
Changamoto ni dawa nyingi zina KIWANGO KIKUBWA
TUONE FLUORIDE INAVYO ATHIRI MENO NA AFYA KWA KWA UJUMLA.
Shirika la afya duniani [WHO] lilipendekeza kiwango cha fluoride kwenye majiya kunywa kiwe (0.5_1) mg/lite kutokana na madhara makubwa yanayotokana na fluoride, mataifa yaliyo endelea yanafanya mpango wa kuiondoa kabisa fluoride katika maji ya kunywa (Rejea andiko la  Dr. Dean burk,mgunduzi wabiotin amefanya kazi National Institute of cancer huko Marekani kwa miaka zaidi ya thelathini) anasema  fluoride iliyowekwa kwenye dawa ya meno imewekwa kwa kiwango kikubwa sana ndio maana wameandika kwamba
a. Usimeze, ukimeza kwa bahati mbaya muone dr wa meno. Jiulize umemeza mara ngapi??
b. Usibakize masalia ya dawa ya meno kwenye kinywa/Safisha kwa maji mengi
c. Mtoto chini ya umri miaka 6 asimamiwe na mtu mzima ili asimeze wala kuila
d. Swaki mara mbili hadi mara tatu kwa siku
e. Baada ya miezi 3 badilisha mswaki.
Haya ndo madhara ya utumiaji wa fluoride .
1. UBONGO
Ungunduzi wa kina wa kisayansi umegundua kuwa utumiaji wa fluoride unapunguza IQ (intelligence quotient) kwa watoto wadogo ambao bado ubongo wao haujakomaa.
2. MIFUPA.
Kiwango kikubwa cha fluoride kinadhoofisha mifupa na kupelekea watu wengi kuvunjika kirahiisi haswa kwenye kiwiko na kwenye hips
3. FIGO.
Wenye matatizo ya figo wanashauriwa wasitumie vitu vyenye fluoride kabisa inamadhara kwa figo zetu (fluoride induced nepharotoxicity)
4. MENO
Kiwango kikubwa cha fluoride hudhoofisha meno na kupelekea Kurusu mashambulizi wa wadudu kwenye kinywa ndo maana unapotoa jino hao wadudu huhamia tena jino lingine.
5. TYROID.
Fluoride husabisha kushindwa kutengeza thyroid hormone kwani huzuia iodine isijishike kwenye kemikali inayotumika kutengeneza thyroxine hormone na hii husababisha goiter na matatizo mengine yatokanayo na upungufu wa vitamin hii.
6. CANCER.
Fluoride ni chanzo kikubwa sana cha kansa kwenye mwili wa binadamu inapojikusanya kwa muda mrefu na hupelekea hata kupata madonda ya tumbo meno kuharibika n.k (Dr Dean USA).

JE NINI WAWEZA KUTUMIA KUONDOKANA NA CHANGAMOTO HIYO YA MENO NA KINYWA?

SOMA HAPA:
Kuna dawa ya meno ambayo imetengenezwa kwa ubora Zaidi na kufanyiwa tafiti kubwa sana.
Imetengenezwa Kwa kiwango kikubwa cha  ALOE VERA na ASALI...

Dawa hii hufanya kazi zifuatazo:
i. Haina fluoride, hukuepusha na madhara yote yatokanayo na FLUORIDE.
ii. Inashambulia Bacteria anaeharibu jino/kinywa
iii. Kuimarisha Fizi, mfupa wa jino na mishipa ya jino.
iv. Huzuia HARUFU mbaya kinywani hasa kwa wale wenye tatizo asili la kinywa kutoa harufu au ambao limetokana na athari za maradhi ya Kinywa.
v. Inaruhusiwa kumenzwa kama tumbo linakusumbua/kuuma
Pia kwa uzoefu hutumika:
1. FIRST AID/huduma ya kwanza kwa kuungua, kujikata, mkwaruzo.
2. Kuondoa fungasi, mapunye, vipele, kuivisha jipu, kuponyesha vidonda, kulainisha koo, kutoa gesi tumboni.
Dawa hii hupatikana kwa gharama ya sh. elfu ishirini (20000) tuu.
Dawa hizi hazipatikani  dukani,supermarkets wala pharmacy, Hunapatikana katika Centre zetu na hutolewa kwa taratibu za  Kiofisi.

Kwa mikoani utapata huduma  tunatuma kwa bus.

Kwa ajili ya kuipata piga simu:

+255625748804.
+255717962720..

Comments

Popular posts from this blog

GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE

TOFAUTI YA DHAMBI,MAKOSA NA UOVU.

Madini ya Zink na Ugumba