FOREVER TUNATUMIA MFUMO GANI WA MALIPO KTK MIFUMO MINGI INAYOTUMIWA NA BIASHARA YA MTANDAO?
Jibu ni kama ifuatavyo. Yapo makampuni mengi yanayotumia mfumo huu wa biashara ya mtandao na yanatumia njia tofauti za ulipaji wa bonus. Njia ya kwanza ni UNILEVEL SYSTEM ambapo ili upate bonus Kuna idadi ya watu unawaunganisha na kampuni wawe wanachama ili uweze kupata kiasi fulani cha pesa labda 200,000 bila kuwa na products/bidhaa zenye value/thamani. Njia ya pili ni BINARY ambayo huwa kunakuwa na pande mbili kushoto na kulia ktk njia hizo unatakiwa kuzibalance ili upate bonus kiasi fulani tofauti na hivyo haupati chochote. Tatu ni MATRIX ambapo kunakuwa na idadi ya watu wa Kujiunga ktk vizazi kadhaa,, mfano watu watatu uhakikishe wanajibalance hadi kizazi cha tatu. Nne ni BRAKE AWAY ambapo kwenye timu yako downline/watu walioko chini yako wakifika level fulan huwezi kupata tena bonus zake wanamwondoa na kusimama mwenyewe. Hizo ni aina tofauti za mifumo inayotumiwa na makampuni tofauti ya biashara ya mtandao, JE, FOREVER LIVING PRODUCTS TUNATUMIA IPI? Board of directors ya kam...