Malengo VS Mafanikio

Habari, ni matumaini yangu wewe uliechukuwa muda huu kusoma makala haya uko salama hilo ni jambo la  kushukuru Sana Mungu, tuangalie japo kwa ufupi malengo Vs mafanikio, ili uweze kufanikiwa unahitaji malengo japo unaweza kuwa na malengo na bado mafanikio yakawa historia Kwako hii nayo ni mada nyingine.Sio kila mwenye malengo anafanikiwa lakini kila aliefanikiwa alikuwa na malengo. Yapo mambo ya kuangalia sana tunapozungumzia malengo na watu wengi kwa kukosa elimu na maarifa juu ya malengo maisha yao yamekuwa maigizo tu.

HEBU JIFUNZE HAPA
Ili uweze kupiga hatua hapa tunapozungumzia malengo ni vyema uwe na maarifa katika nyanja zifuatazo na kama huna maarifa hayo hakikisha kwa gharama yoyote unayapata.
1.KUFAHAM MAANA YA MALENGO NA MAAJABU YAKE
Kunatofauti kati ya mawazo na malengo lazima ufaham
2.AINA ZA MALENGO
Hichi ni kitu cha pili ambacho unatakiwa kukifaham ili uweze kufikia mafanikio yako, je unafaham aina za malengo? Kama hufaham usilale mwaka unaisha hakikisha umepata maarifa haya haraka sana kama unataka kufanikiwa. Kuna aina tatu za malengo lazima uzifaham

3.SEHEM ZA KUPANGA MALENGO
Watu wengi huwa wanaamini mafanikio ni kupata pesa lakini Kuna zaidi ya pesa ambapo kama ukiweza kupata maarifa yatakayokufanya utambue sehem unatakiwa kupanga malengo yako hata kama mafanikio yako ni kuwa na mke au mume bora utayafikia, Maana ZIPO SEHEM NNE ZA KUPANGA MALENGO Kama huzijui tafuta maarifa hayo.
4.NJIA RAHISI ZA KUFIKIA MALENGO YAKO
Malengo yananjia zake ambazo watu waliofanikiwa na waliopiga hatua kimaisha walizifata ambazo kama ukizijua naamini hata wewe mafanikio yako yatakuja tu,HAPA ZIPO NJIA SABA ZA KUFIKIA MALENGO YAKO KIURAHISI. Kama huzijui nikushauri zitafute kwa gharama yoyote.
5.KANUNI WANAZOZITUMIA WATU WALIOFANIKIWA KUTIMIZA MALENGO YAO. Hapa zipo kanuni tatu kuu unapaswa kuzifaham.

HAKUNA MIUJIZA KWENYE MAFANIKIO NI MALENGO TENA YANAYOPITIA HATUA HIZO HUYALETA MAFANIKIO YA MTU YOYOTE.
MWAKA UNAISHA FIKICHA AKILI UMETIMIZA MALENGO YAKO.
***EMMANUEL MPUTA ****
The right action = Success
0717962720 / 0767962720

Comments

Popular posts from this blog

GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE

TOFAUTI YA DHAMBI,MAKOSA NA UOVU.

Madini ya Zink na Ugumba