FOREVER TUNATUMIA MFUMO GANI WA MALIPO KTK MIFUMO MINGI INAYOTUMIWA NA BIASHARA YA MTANDAO?

Jibu ni kama ifuatavyo.
Yapo makampuni mengi yanayotumia mfumo huu wa biashara ya mtandao na yanatumia njia tofauti za ulipaji wa bonus.

Njia ya kwanza ni UNILEVEL SYSTEM ambapo ili upate bonus Kuna idadi ya watu unawaunganisha na kampuni wawe wanachama ili  uweze kupata kiasi fulani cha pesa labda 200,000 bila kuwa na products/bidhaa zenye value/thamani.

Njia ya pili ni BINARY ambayo huwa kunakuwa na pande mbili kushoto na kulia ktk njia hizo unatakiwa kuzibalance ili upate bonus kiasi fulani tofauti na hivyo haupati chochote.

Tatu ni MATRIX ambapo kunakuwa na idadi ya watu wa Kujiunga ktk vizazi kadhaa,, mfano watu watatu uhakikishe wanajibalance hadi kizazi cha tatu.

Nne ni BRAKE AWAY ambapo kwenye timu yako downline/watu walioko chini yako wakifika level fulan huwezi kupata tena bonus zake wanamwondoa na kusimama mwenyewe.

Hizo ni aina tofauti za mifumo inayotumiwa na makampuni tofauti ya biashara ya mtandao,

JE, FOREVER LIVING PRODUCTS TUNATUMIA IPI?

Board of directors ya kampuni yetu inahusisha zaidi ya wataalam nguli duniani wa FANI tofauti ambao wapo zaidi ya thelathini, na waliweza kukaa na kuzisoma hizo njia zote, kisha wakaweza kutengeneza mfumo unaoitwa "HYBRID"  ambao unagusa hiyo mifumo mingine yote na kuongezea mengine, huu ndio mfumo unaotumiwa na kampuni yetu ya forever pekee yake duniani.

Nini maana ya HYBRID?

HYBRID inamaanisha kuwa unaweza kupata bonus kwa % fulan ktk biashara yako uliyoijenga kutoka katika kizazi chochote bila kuwa na mwisho.

Pili unaweza kupata bonus ya kujoin new prospects/ama kuwaunganisha watu wapya kuwa wanachama kwa kadiri unavyoweza bila kuwa na kikomo hapo walifanyia maboresho njia ya UNILEVEL kama ulivyoona pale juu.

Tatu unaweza kupata leadership bonus kuanzia kizazi cha kwanza hadi cha tatu kulingana na namna ulivyoyajenga matawi yako, hii inamaanisha ni maboresho ya ile njia ya MATRIX.

Nne ni CAR TO DRIVE bonus ambapo Kuna vigezo vya cc(case credit) unafanya ndani ya miezi mitatu na kuweza kuqualify/kufuzu kati ya $400-800 kwa kila mwezi kwa muda wa miezi 36, ambapo ni maboresho ya ile njia ya BINARY.

Tano ni Pale champion/member unapokuwa na tawi moja ktk biashara na hilo tawi linakua kwa kasi kukupelekea kuwa unrecognised supervisor au assistant manager au manager na kukosa bonus zake, hii ni maboresho
ya njia ya UNILEVEL.

Kumbe FOREVER LIVING PRODUCTS ilichukua mifumo ya malipo ya makampuni mengine yote ya biashara ya mtandao na kuyafanyia marekebisho na kuyaleta pamoja na kupata mfumo wa HYBRID ambao ndio tunatumia ili mwanachama apate malipo stahiki kulingana na kazi alizozifanya.

Kumbuka makampuni mengine yote yanatumia njia moja moja ya malipo lakin forever ni mjumuisho wa njia tano na ndio maana BONUS ZAKE NI ZA UHAKIKA.

FOREVER LIVING PRODUCTS iliongeza bonus nyingine ambayo tunaiita BABA LAO kwan hamna kampuni yeyote inayotoa hii bonus inayoitwa CHAIRMAN 'S BONUS/Kiinua mgongo hili ni gawio la faida iliyopatikana kwa mwaka mzima, 60% inatolewa motisha kwa Champions/wanachama wote duniani walio qualify/fuzu. Hii ni bonus ambayo unaweza kupata hela kwa Champions yeyote popote duniani anayeifanya hii Biashara, kuanzia top distributor wa dunia Rolf Kipp hadi wa mwisho,  hii ni kwa sababu faida ya
mwaka mzima inatengezwa na mauzo ya kampuni kwote duniani.
Hivyo unapopata chairman's bonus haijatoka kwenye timu yako pekee yako, au Tanzania pekee ake, au Africa pekee yake, imetoka ndani ya zile nchi wanachama 158 duniani. Kumbe biashara ikiwa kubwa Ulaya au America Au South Africa au Nigeria, nasi Tanzania inabidi tufurahie kwan gawio la faida linazidi kuongezeka.

Comments

Popular posts from this blog

GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE

TOFAUTI YA DHAMBI,MAKOSA NA UOVU.

Madini ya Zink na Ugumba