Posts

Weight management program

Start a journey to a slimmer, healthier you. This effective, easy-to-follow cleansing program will give you the tools you need to start transforming your body today. Over the next 9 days, you can expect to look better and feel better and begin to eliminate stored toxins that may be keeping you from absorbing the maximum nutrients in your food. You’ll also begin to feel lighter and more energized as you prove you can take control of your appetite and see your body begin to change. Welcome and congratulations for taking charge of your health. I salute you! Your transformation has just began. Am proud and excited for you!? Clean 9 (C9) is a 9 day cleansing phase which is part of the Fit programme from Forever Living Products (USA) which has been here since 1978 giving amazing, highly effective and internationally used health beauty and wellness solutions in over 158 countries worldwide. We give 100% guarantee to our clients as our products speak for themselves with highly recognized...

MAKOSA KTK PESA

___MAKOSA KATIKA PESA__ 💰MONEY MISTAKE 1 Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake.  💰MONEY MISTAKE 2 Usitumie pesa ambayo bado haipo mikononi mwako. Wala usije ukamuahidi mtu kumpa pesa ambayo  umeahidiwa mahali fulani. Kama kuna mtu kakwambia, Flan njoo kesho nikulipe deni lako" Basi wewe usiende kukopa vitu kadhaa dukani au hata kumuahidi mtu mwingine kumpa pesa ambayo na wewe umeahidiwa.  Ni kosa. Unaweza kuingia kwenye matatizo. 💰MONEY MISTAKES 3 Kama unataka kuhifadhi/kutunza pesa, kila unapopata pesa usianze kuitumia kwanza kisha ukategemea kutunza kiasi kitakachosalia. Hivyo basi,  ukipata tu pesa,  weka pembeni kiasi unachodhani kinafaa kutunzwa/kuhifadhiwa kisha tumia kiasi kilichobaki.  💰MONEY MISTAKE 4 Ukipata nafasi ya kuonana na mtu tajiri, kamwe usiombe pesa.  Omba maarifa ya kutengeneza pesa kama yeye, ...

JE UNAPATA CHANGAMOTO YA MENO AU UNAPATA TATIZO LA MENO MARA KWA MARA??

SOMA HAPA NA JIULIZE MASWALI HAYA! 1. Kwa nini meno yanauma wakati mwanzo hayakuwa yanauma? 2. Kwa nini unang'oa jino kisha tatizo lilelile linahamia jino lingine?? 3. Kwa nini kinywa chako hata ukipig a mswaki bado unatoa harufu mbaya? 4. kwa nini ukipiga mswaki fizi zinatoa damu? Meno ni muunganiko wa mfupa wa jino, Fizi na Mishipa. Mara nyingi watu wengi huwa pale wanapoumwa na jino wanakimbilia kung’oa jino eti dawa ya jino kuling’oa jambo ambalo si kweli. Tambua, unapoenda King'oa jino, unang'oa mfupa wa jino ila maradhi umeyaacha ktk fizi na mishipa ndani ya kinywa. Fahamu kuwa kwenye kinywa cha mwanadamu kuna bakteria wanaoishi mdomoni wanaitwa NORMAL FRALER. Bakteria hawa ndio wanaotengeneza ute wenye Acid unaolainisha chakula kwa haraka mdomoni. Lakini wanasababisha ugonjwa unaoitwa GINGIVAITES, ugonjwa huu husababisha fizi kutoa damu haswa unapopiga mswaki, lakini ukiachwa ukawa sugu unasababisha ugonjwa mwingine sugu  MACHODIFECE, Ugonjwa huu husababisha na ...

Mwanaume kudharauliwa ni uzembe

Ipo hivi mwanamke hata akikuzidi elimu, kipato au chochote kile sio sababu ya yeye kukudharau, wanaume tumepewa siraha directly kutoka kwa Mungu tangu siku ile ambapo nucleus ya sperm ilipoungana na nucleus ya ovum through fertilization na kuunda male zygote, silaha tuliyopewa ni KUTAWALA, Biblia inasema wazi pale ambapo Mungu anampa adhabu Eva alimwambia hivi”tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye ATAKUTAWALA”, Hata mtume Paulo ktk nyaraka zake alisema ”MWANAUME AMPENDE MKE WAKE KAMA KRISTO ANAVYOLIPENDA KANISA” alafu akasema kwa wanawake ”MWANAMKE ‘MTII’ MUMEO KAMA UNAVYOMTII KRISTO”, unaweza ona mwenyewe utofauti wa ‘kupenda’ na ‘kutii’, kutii ni kuwa chini ya mamlaka inayokupa amri. Sasa wanaume wengi siku hizi wanakosa hayo mamlaka ya’KUTAWALA’ na sababu kubwa ni kutojiamini tu, wewe ni mwanaume, wewe ni kichwa acha kupelekwa pelekwa, ipo hivi unatakiwa kutoa maamuzia ambayo mke wako anatakiwa either afu...

GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE

Image
ZIFAHAMU GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE Kundi lako la damu linaweza kukufanya uwe dhaifu au imara katika kukabiliana na magonjwa fulani.Ni vema kujua kundi lako la damu sawa na ilivyo vema kujua mambo mengine yanayochangia kuwa na afya njema. Kujua kundi lako la damu Kunaweza kukuza uwezo wako wa kufahamu hatari zinazo kukabili kutokana na kundi la damu Ulilo nalo na kuepuka hatari hizo kwa kutumia mtindo wa maisha unaofaa.Hata hivyo, Kama vilivyo viungo vingine vya mwili, damu nayo ina changamoto ya kukumbana na maradhi mbalimbali, magonjwa yanayoathiri utendaji kazi wa damu yanaweza kugawanywa katika makundi kama vile ya kurithi, kuambukiza, mabadiliko ya kimwili na saratani tofauti. Damu ya binadamu imegawanyika katika makundi makuu manne ambayo ni A, B, AB, na O, binadamu yeyote lazima awe na moja wapo ya makundi hayo. GROUP A ✔Hawa ni vegetarians wanahitaji sana mananasi na zabibu kwa wingi. ✔ Mara nyingi ni wale watu ambao hawaambiliki yaani wakiamua kitu wameamua mpaka ...

TEZI DUME(PROSTATE)

HABARI Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo Kama  viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza maji maji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili. Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalowakumba wanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati  ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume. Ukuaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50. Takwimu k...

UANDAAJI CAKE

CAKE SIMPLE YA CHOCOLATE : Kwa hisani ya laylbakes Mahitaji: 🔸Unga wa ngano vikombe 2 🔸Sukari vikombe 2 unaweza punguza kidogo 🔸Cocoa 3/4 kikombe 🔸Baking powder vijiko 2 1/4  vya chai 🔸Baking soda 1/2 kijiko cha chai 🔸Chumvi kijiko 1 cha chai 🔸Maziwa ya maji kikombe 1 🔸Mafuta ya kula 1/2 kikombe 🔸Vanilla kijiko 1 1/2 cha chai 🔸Mayai 2 🔸Maji moto 3/4 kikombe NAMNA YA KUTAYARISHA: Hatua ya 1: 1. Washa oven joto 180°C. Paka  chombo chako cha kuokea mafuta au siagi. Weka pembeni Hatua ya 2: 2. Changanya mahitaji yote A katika bakuli kisha piga vizuri hadi mchanganyiko uwe laini Hatua ya 3: 3. Tia Maji moto kisha piga tena kidogo tu kuchanganya. (Mchanganyiko wa keki utakuwa mwepesi usihofie) Hatua ya 4: 4. Mimina mchanganyiko wako katika chombo ulichoandaa kisha oka kwa muda wa dk 30-50 au hadi kiasi ukichoma kijiti kati kinatoka safi. (Unaweza oka kwa mkaa pi...