Posts

SABABU ZA KUPUNGUZA UZITO

Image
Sababu 18 zinazokulazimu upunguze uzito wako na uogope unene na zote ni hizi zifuatazo: 1. Unene unaongeza kiwango cha mafuta mwilini, ambayo huongeza uwezekano wa kupata kansa. 2. Unene unaongeza mafuta mwilini, ambayo hufanya matibabu ya kansa kuwa magumu zaidi. 3. Unene huongeza mafuta mwilini ambayo huushinikiza na kuubana moyo. 4. Mtu mnene huwa mvivu kufanya mazoezi, suala ambalo humuongezea zaidi unene. 5. Mafuta mengi mwilini yana madhara kwa ubongo. 6.Unene huathiri hata tabia na miamala ya mtu. 7. Unene huongeza uzito katika mifupa na viunga vya mifupa (bone joints). 8. Unene husababisha kibofu cha mkojo kibanwe suala linalosababisha matatizo mbalimbali ya mkojo. 9. Unene hupunguza uwezo wa kujamiiana wa mtu. 10. Unene hupunguza uwezo wa kuzaa na hata kusababisha utasa na ugumba. 11. Unene huweza kuufanya mwili upatwe kwa wepesi magonjwa mbalimbali kama vile kisukari na presha. 12. Watu wanene wanapofika hospitalini upimaji wao pia huwa wa matatizo. 13. Unene husababisha ujau...

Poster

Designing http://www.postermywall. com

Maneno ya Hekima

*Nyati wanaua watu 7 kila mwaka.* *Simba wanaua watu 500 kila mwaka.* *Kiboko wanaua watu 800 kila mwaka.* *Mabuibui wanaua watu 5000 kila mwaka.* *Nnge wanaua watu 7000 kila mwaka.* *Nyoka wanaua watu 10000 kila mwaka.* *Kisha cha kushangaza,* *Mbu wanaua watu milioni 2.7 kila mwaka...! Ndio... Walio wadogo kabisa ndio wanaoua sana..!!* *Dhambi ndogo ndogo, ambazo wengi hawazioni au hawazitambui, ndio zenye kuua zaidi maisha yako ya kiroho (imani).* *Epuka udhuru wa kutoswali na kutenga muda mchache wa siku yako kwa ajili ya Muumba wako.* *Dhambi za upungufu  zinaua  kama dhambi za uamuzi tu..!* *Kusengenya na urongo mdogo mdogo, kunafanywa mara kwa mara na ndio mauti.* *Chunga yale madogo madogo unayoyafanya kila siku, ndio yatakayo kuangusha.* *Watu wa kufanikiwa wana mambo mawili midomoni mwao: _Tabasamu na Kimya_.* *Tabasamu inaweza kutatua matatizo, na kimya kinaweza kuepusha matatizo.* *Sukari inaweza kuchanganywa na chumvi, lakini siafu wanaikataa chumvi na wanaibeba s...

VITU VILIVYOMO KTK SPERMS

JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI* Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu. Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne: • PROTEIN, • ACID, • SPERM au CHROMOSOME, • VIRUS. PROTEIN: Ni aina mojawapo ya “Food Substance” inayorutubisha mwili. Substance hii inapatikana ndani ya manii na pia watu wa mambo ya reproduction system (mfumo wa uzazi) wanakubali kwamba manii yanatokana na aina hii ya chakula na ndiyo maana kama una njaa shughuli ya Jimai inashindikana, au kama utajilazimisha utapata madhara. ACID: Ni mfano wa tindikali, yaani kitu chenye ladha ya ukali mfano ndimu. Na kitu chenye tindikali kina kawaida ya kuunguza na pia kulegeza kwa itakayompata au kumuingia, ndiyo sababu kitaalam ukimlinganisha mwanamke aliyeolewa na asiyeolewa kisha akawa hafanyi zinaa maumbile yao yanatofautiana. Yule aliyeolewa mwili wake unakuwa laini zaidi sababu ya acid inayopatikana ndani ya manii. Nitakupa mifa...

C9 DIETING

Hongera kwa kuanza safari yako ya kupungua lakini pia kuimarisha afya. Clean 9 ni program ya siku tisa ambayo itakusaidia kupungua lakini pia kuondoa sumu mwilini. Imegawanyika katika sehemu mbili siku 1-2 na siku ya 3-9. Ni muhimu sana kufuata maelekezo ili upate matokea mazuri. Hakikisha una rekodi kama muongozo ulivyo kwenye kitabu. Muongozo wa Siku 1-2 Hii ndio sehemu muhimu na ngumu zaidi kwani hautakula chochote ambacho hakija orodheshwa hapa. Hizi ndio ziku ambazo mwili unatoa sumu kwa kiasi kikubwa. Asubuhi Kunywa Garcinia Plus vidonge 2 Kunywa Aloe Vera Gel 120ml( Nusu Glass) Kunywa Therm kidonge 1 Kunywa Maji walau Glass moja. Fanya mazoezi walau Dk 30 Mida ya saa nne( katikati ya asubuhi na mchana) Changanya Fibre na glass moja ya maji Mchana Kunywa Garcinia Plus 2 Subiri dk 20 zipite Kunywa Aloe Vera Gel 120ml( Nusu Glass) Kunywa Therm 1 Changanya kijiko kimoja cha Ultra na maziwa yasiyo na mafuta ( skim milk) 300ml utaweka mchanganyiko katika chupa( shaker). Hii ni tamu sa...

TATIZO LA HARUFU MBAYA MDOMONI NA TIBA YAKE

Image
Kuwa na harufu mbaya mdomoni ni kitendo kinachoweza kuathiri maisha ya mtu kimahusiano si kwa mpenzi tu bali marafiki na jamii kwa ujumla. Pia kuwa na harufu mbaya mdomoni hupunguza mtu kuwa lovable kwani hata unapoongea wengi watakwepa kuongea direct na wewe kwa sababu ya harufu mbaya inayotoka mdomoni. Zifuatazo ni baadhi tiba ambazo ni rahisi kuandaa mwenyewe ukiwa nyumbani na hazina madhara kabisa kiafya. 1. CHAI YA KIJANI (GREEN TEA) Green tea ni tajiri wa polyphenol,ina antioxidant yenye nguvu sana ambayo itaondoa plaque kuenea kwenye meno yako. Polyphenols imeonekana kuzuia bacteria kukua katika mdomo.Kwahiyo kufyonza chai ya kijani husaidia kuondoa harufu chafu ya vitunguu. Spinach, chai ya rangi,apples na mushrooms pia nazo zina polyphenols, unaweza pia kutumia aina hii ya vyakula na kinywaji baada ya kujiona mdomo unatoa harufu iliosababishwa na mlo wako. 2. MATUNDA NA MBOGA FRESH Fiber-nyingi hupatikana kwenye matunda na mboga, husaidia kuondoa harufu mbaya ya mdomoni (na ku...

NETWORK MARKETING (BIASHARA YA MTANDAO)

Image
IJUE BIASHARA YA MTANDAO(NETWORK MARKETING) NA FAIDA ZAKE. Nawasalimu Ndugu zangu na Kuwakaribisha katika ukurasa huu wa Forever Living Products. Naam karibuni sasa tushirikiane katika mada hapo juu. Wengi huenda sio mara ya kwanza kusikia juu ya biashara ya mtandao(Network Marketing). Kama tunaijua twendelee kuijua zaidi, na kwa wale ambao ndio Mara yao ya kwanza kusikia, basi tufuatane hadi mwisho wa makala hii ili tuijue, karibuni. Network Marketing(Biashara mtandao) ni biashara inayofanyika kwa kuwaunga zaidi watu kusambaza na kuuza bidhaa za kampuni kama wasambazaji ambao hulipwa kulingana na utendaji kazi wa mtu binafsi. Aina hii ya biashara huwa na kampuni linalozalisha bidhaa Fulani na kuziuza kwa kutumia wasambazaji waliokubaliwa na kampuni, ambapo wasambazaji hulipwa kamisheni kulingana na mauzo, lakini pia kupata faida fulani(retail profit) katika bidhaa hizo anapoziuza kwa mtumiaji wa mwisho. Hivyo msambazaji(distributor) anapouza zaidi ndipo kampuni nalo linapouza zaidi na...