C9 DIETING
Hongera kwa kuanza safari yako ya kupungua lakini pia kuimarisha afya.
Clean 9 ni program ya siku tisa ambayo itakusaidia kupungua lakini pia kuondoa sumu mwilini. Imegawanyika katika sehemu mbili
siku 1-2 na siku ya 3-9.
Ni muhimu sana kufuata maelekezo ili upate matokea mazuri. Hakikisha una rekodi kama muongozo ulivyo kwenye kitabu.
Muongozo wa Siku 1-2
Hii ndio sehemu muhimu na ngumu zaidi kwani hautakula chochote ambacho hakija orodheshwa hapa.
Hizi ndio ziku ambazo mwili unatoa sumu kwa kiasi kikubwa.
Asubuhi
Kunywa Garcinia Plus vidonge 2
Kunywa Aloe Vera Gel 120ml( Nusu Glass)
Kunywa Therm kidonge 1
Kunywa Maji walau Glass moja.
Fanya mazoezi walau Dk 30
Mida ya saa nne( katikati ya asubuhi na mchana)
Changanya Fibre na glass moja ya maji
Mchana
Kunywa Garcinia Plus 2
Subiri dk 20 zipite
Kunywa Aloe Vera Gel 120ml( Nusu Glass)
Kunywa Therm 1
Changanya kijiko kimoja cha Ultra na maziwa yasiyo na mafuta ( skim milk) 300ml utaweka mchanganyiko katika chupa( shaker). Hii ni tamu sana.
Maji walau glass 1
Usiku
Kunywa Garcinia plus 2
Subiri dk 20
Kunywa Aloe Vera Gel 120ml( Nusu Glass)
Maji walau glass moja
Wakati wa Kulala
Kunywa Aloe Vera Gel 120ml(Nusu Glass)
Majo walau glass 1
TIP:
Kwenye kitabu kuna orodha ya vyakula ambayo unaweza kula. Kwa upande wa mbona usizipike. Kupata matokea mazuri zaidi kula mbona zaidi ya matunda
Maji kunywa mengi utakavyoweza maji mengi yatafanya usisikie njaa.
Comments
Post a Comment