Posts

Soma hii

Jitambue84 http://jitambue84.blogspot.com/

Maradhi ya fizi na meno

Image
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya wapenzi wasikilizaji, na karibuni kujumuika nami katika makala nyingine ya Ijue Afya Yako. Wiki iliyopita tulizungumzia usafi wa kinywa, umuhimu wake na pia jinsi ya utunzaji wa fizi na meno. Bado tunaendelea kujadili suala hilo ambapo leo tutazunguzia maradhi mbalimbali ya fizi na meno na namna ya kuyazuia. karibuni. Aina za maradhi ya fizi na dalili zake Kupiga mswaki na kutunza meno sio suala gumu na iwapo tutapiga mswaki ipaswavyo pamoja na kutumia nyuzi kusafisha katikati ya meno, tunaweza kuzua maradhi ya fizi na pia meno kuoza. Maradhi ya fizi husababishwa na utando kwenye meno unaotengenezwa na bakteria, ute na chembechembe nyinginezo zinazoganda kwenye meno. Kwa mujibu wa Taasisi ya Meno ya Marekani (ADA) iwapo utando katika meno hautaondolewa huwa mgumu na kuwa ugwagwa wa meno au tarter inayotumiwa na bakteria. Mchanganyiko wa utando na ugwagwa katika meno husababisha uvimbe kwenye fizi hali inayojulikana kitaalamu kama gingivitis. Ukoga w...

STAY ALERT STAY ALIVE

Image
CHALLENGE CREATE(S) CHANGE I just read an article and i thought it's worth sharing. "For Historical Purposes, It’s Worth Remembering That Yahoo Refused To Buy Google For $1 Million Dollars Back In 1998. In 2002, Perhaps Realizing Its Mistake, Yahoo Offered Google $3 Billion For Acquisition, Google’s Owners Wanted $5 Billion, Which Yahoo Refused. As of 2015 Google was worth almost 600 Billion Dollars. In 2008, Microsoft Offered $40 Billion For Buying Yahoo, And Yahoo Turned Down That Offer. Today, Yahoo Has Been Sold To Verizon For Just $4.8 Billion.  Y ahoo Was Once Worth More Than $125 Billion".  The greatest gift ever given to mankind is not the gift of sight, but the gift of vision. The Giants (Big Companies in USA) of 1970s over sixty percent of them are no longer in business. If we can't learn new Skills now, if we can't embrace new models now,  if we can't Act now, then we should prepare a lot of caskets for the death of the so-called...

Zijue siku zako za kushika Mimba

Image
Nimeamua kuandika makala hii ili kujibu swali la moja wa mdau wa blogi hii ambaye ameuliza kwamba, anahitaji kushika mimba na je, kwa mfano mwezi huu alianza period yake tarehe 17 Juni, ni zipi siku zake za kushika mimba? Ndugu mdau kwanza kabisa nachukua nafasi hii kukuomba samahani kwa kuchelewa kujibu swali lako. Pengine ninapoandika makala hii utakuwa tayari umeshashika mimba, basi kama ni hivyo hakuna tabu bali natumaini swali lako litakuwa limewasaidia wengine ambao pengine wana tatizo kama halo. Pia umeualiza je, ukitaka mtoto wa kike ufanyeje?  Nachukua nafasi hii kwanza kujibu swali lako la kwanza kabla sijaenda kwenye swali lako la pili. Kwani kuelewa vyema swali la kwanza kutasaidia kuelewa swali la pili pia.  Inafaa tufahamu kuwa ili kuweza kujua ni siku zipi za mwezi mwanamke anaweza kushika mimba (to conceive) inabidi tujua kwanza kipindi ambacho mwili wa mwanamke uko tayari kushika mimba au Ovulation Period. Ovulation ni wakati ambao yai lililokua hutoka katika ...

TOFAUTI YA DHAMBI,MAKOSA NA UOVU.

Ninamshukuru Roho Mtakatifu yeye anipaye hekima na maarifa haya ya kufundisha Neno la Mungu. Watu wengi huwa wanaisi kua dhambi,makosa na uovu ni kitu kimoja,sio kweli kibiblia. KUTOKA 34:7a.Mwenye kuwaonea huruma watu elfu,mwenye kusamehe uovu na makosa na dhambi; M.WALAWI 16:21a. Na Haruni mikono yake miwili juu ya kichwa cha yule mbuzi aliye hai na kuungama juu yake uovu wote wa wana wa Israel na makosa yao naam,dhambi zao zote... Hivyo tunaona kua kuna tofauti kati ya ivyo vitu.. Dhambi huu ni uasi.Ili kiebrania ni Chattah ni kwenda kinyume na kupungukiwa.ndio maana biblia inasema ni uasi 1YOHANA 3:4 Kila mtu afanyaye dhambi,afanya uasi maana dhambi ni uasi. Ivyo dhambi ni kuvunja sheria ya Mungu,maana baada ya Mungu kutoa amri 10 alileta utisho na kusema wasifanye dhambi maana kuvunja amri ndio dhambi. KUTOKA 20:20 Musa akawaambia watu msiogope,maana Mungu amekuja ili awajaribu na utisho wake uwe mbele yenu ili kwamba msifanye dhambi. Makosa ili neno Kiebrania ni Pesha,Kutenda dha...

Kama Wewe Ni Mjasiriamali, Acha Kabisa Kuogopa Mambo Haya

Image
Kila mtu katika maisha yake anataka kufanikiwa. Kutokana umuhimu huu wa mafanikio kila mtu hujikuta akiweka juhudi kwa kile anachokifanya ili kufikia mafanikio hayo. Lakini pamoja na juhudi zote hizo wengi wetu huwa wanashindwa kufikia mafanikio hayo kutokana na kuogopa mambo fulani fulani ambayo hawakutakiwa kuyaogopa kabisa. Kwa kuyaogopa mambo hayo na kuyakuza husababisha kushidwa kufikia mafanikio. Hili ndilo kosa kubwa ambalo wengi wamekuwa wakifanya kwa kuogopa kitu ambacho hawakutakiwa kukiogopa  na matokeo yake husababisha kushindwa kufanya kitu ama kuchukua hatua. Kama wewe ni mjasiriamali na unayetaka mafanikio makubwa acha kuogopa kabisa mambo haya:- 1. Kushindwa. Mjasiriamali yoyote mwenye nia ya kufika kwenye kilele cha mafanikio siku zote haogopi kushindwa. Kama ameshindwa katika jambo hili atajaribu hili na lile mpaka kufanikiwa. Lakini siyo rahisi kuacha njia ya mafanikio eti kwa sababu alishindwa kwa mara ya kwanza. Hiki ni kitu muhimu sana kukijua katika safari ya...

MATUMIZI YA CLEAN 9 YA ZAMANI NA MPYA

Image
Kama mtu ana uzito mkubwa na mafuta mengi anaanza kunywa juice kwanza ili aflash asbh kabla hajala chochote na km akiflash au kuharisha zaidi ya mara nne ni vizuri akarudia tena kesho yake asbh akimaliza kuflash anaruhusiwa kula ugali wa dona laini au sembe na mboga za majani tu maji kwa wingi na matunda Siku ya 1 - 2 ya clean9 Asbh garcinia 2 plus baada ya dk 20 ml 120 za alovera gel na maji ml 240 baada ya hapo fanya mazoezi dakika zisizo pungua 20 ili mwili utoke jasho ili uzifanye hizo product zifanye kazi sawasawa. b) snack yaani asbh ya saa 4 anakunywa Forever bee pollen 2 plus maji ml 240 c)lunch: Garcinia 2 plus baada ya dk 20 kunywa ml 120 za alovera gel na maji ml 240 kijiko kimoja cha forever lite ultra vannila kwenye maji ml 300 na forever bee pollen 2 d).dinner: Garcinia 2 plus baada ya dk 20 kunywa alovera gel ml 120 na maji ml 240 pamoja na forever bee pollen 2 e).muda wa kulala yaani snack Mls 120 za alovera gel pamoja na maji ml 240 then lala IKUMBUKWE : cku ya kwanza ...