MATUMIZI YA CLEAN 9 YA ZAMANI NA MPYA

Kama mtu ana uzito mkubwa na mafuta mengi anaanza kunywa juice kwanza ili aflash asbh kabla hajala chochote na km akiflash au kuharisha zaidi ya mara nne ni vizuri akarudia tena kesho yake asbh akimaliza kuflash anaruhusiwa kula ugali wa dona laini au sembe na mboga za majani tu maji kwa wingi na matunda

Siku ya 1 - 2 ya clean9 Asbh garcinia 2 plus baada ya dk 20 ml 120 za alovera gel na maji ml 240 baada ya hapo fanya mazoezi dakika zisizo pungua 20 ili mwili utoke jasho ili uzifanye hizo product zifanye kazi sawasawa.

b) snack yaani asbh ya saa 4 anakunywa Forever bee pollen 2 plus maji ml 240

c)lunch:
Garcinia 2 plus baada ya dk 20 kunywa ml 120 za alovera gel na maji ml 240 kijiko kimoja cha forever lite ultra vannila kwenye maji ml 300 na forever bee pollen 2

d).dinner:
Garcinia 2 plus baada ya dk 20 kunywa alovera gel ml 120 na maji ml 240 pamoja na forever bee pollen 2

e).muda wa kulala yaani snack
Mls 120 za alovera gel pamoja na maji ml 240 then lala
IKUMBUKWE : cku ya kwanza na ya pili ya clean 9  hakuna kula chakula chochote ni product tuu!

Day 3-9 clean 9

Asbh garcinia 2 plus baada ya dk 20 ml 120 za alovera  na maji ml 240  kijiko kimoja cha lite ultra kwenye maji ml 300 then fanya mazoezi dk zisizo pungua 20  kimbia ruka kamba au tembea umbali mrefu

b)snack
forever bee
pollen na maji ml240

c)lunch
Garcinia 2 plus baada ya dk 20 kijiko kimoja cha lite ultra vannila kwenye maji ml 300 au ugali kidogo na mboga za majani tu na forever bee pollen na maji ml 240.

d)dinner
Mls 120  za alovera  na maji ml 240 garcinia 2 plus baada ya dk 20  kula vijiko vitatu vya wali na mboga za majani tuu au kijiko kimoja cha lite ultra kwenye ml 300 za maji na bee pollen muda wa kulala yaani snack ml 240 za maji then lala fanya hivyo kila siku mpk siku ya 9 bila kusahau mazoezi

C9 MPYAAA,.......

FIT PROGRAM
INAANZA NA CLEAN 9 PROGRAM

C9 Mpya ,ina vitu vifuatavvyo;

• Aloe vera gel (2 bottles)
• Forever lite ultra shake mix(1)
• Forever therm(18 Tablets)
• Forever fibre(9 sticks)
• Garcinia plus (54 softgels)

MATUMIZI
SIKU YA 1&2
MUDA
TUKIO

BREAKFAST
12:00 Asb
Kunywa Garcinia 2(Subiri dakika 20)

12:20Asb
Kunywa Aloevera gel(4oz)
Kunywa Forever Therm(kidonge kimoja)
(Na angalau glass moja ya maji)

12:30-7:00Asb
Fanya mazoezi mepesi kwa angalau Dakika 30(Tembea,Endesha Baiskeli,Ogelea,Kimbia)

SNACK
3:00 Asb
Kula paketi moja ya Forever Fibre(Changanya na glass moja ya Maji au Kinywaji kingine)

LUNCH
6:30-7:00 Mchana
Kunywa Garcinia  vidonge 2
Subiri dakika 20
Kunywa Aloevera gel(4oz) na maji angalau glass moja
Kunywa Forever Therm(kidonge kimoja)
Kunywa Forever Lite Ultra Kijiko kimoja changanya na maji 10 Oz au skimmed milk

DINNER
12:30-7:00 Jioni
Kunywa Garcinia  vidonge 2
Subiri dakika 20
Kunywa Aloevera gel(4oz) na maji angalau glass moja
Kula Vyakula vyepesi,Mf Matango,Apples,

USIKU
2:30-3:00 Usiku
Kunywa Aloevera gel(4oz) na maji angalau glass moja

NOTE:
Kunywa Maji Mengi Uwezavyo ni muhimu sana katika hatua hii ya Kutengeneza mwili wako

SIKU YA 3 -9

BREAKFAST
12:00 Asb
Kunywa Garcinia 2(Subiri dakika 20)
12:20Asb
Kunywa Aloevera gel(4oz)
Kunywa Forever Therm(kidonge kimoja)
(Na angalau glass moja ya maji)
Kunywa Forever Lite Ultra Kijiko kimoja changanya na maji 10 Oz au skimmed milk

12:30-7:00Asb
Fanya mazoezi mepesi kwa angalau Dakika 30(Tembea,Endesha Baiskeli,Ogelea,Kimbia)

SNACK
3:00 Asb
Kula paketi moja ya Forever Fibre(Changanya na glass moja ya Maji au Kinywaji kingine)

LUNCH
6:30-7:00 Mchana
Kunywa Garcinia  vidonge 2
maji angalau glass moja
Kunywa Forever Therm(kidonge kimoja)
Kunywa Forever Lite Ultra Kijiko kimoja changanya na maji 10 Oz au skimmed milk

(AU Kula chakula kisichozidi Carolies 300,Hii itaanza kukuandaa kuingia kwenye program ya pili ya FIT 1

DINNER
12:30-7:00 Jioni
Kunywa Garcinia  vidonge 2
maji angalau glass moja
Kula Vyakula vyepesi,Mf Matango,Apples,Mapeazi,maberry,figs,strawberry,Zabibu,spinach,nyanya nk( Vyakula visizidi Carolies 600)

(Kati ya siku ya 3-8 Wanaume wanaweza kula chakula mpaka cha Carolies 800,au baada ya chakula cha Carolies 600 wanaweza kunywa na Forever Lite Utra)

USIKU
2:30-3:00 Usiku
Kunywa maji angalau glass moja

NOTE
Kama utapendelea chakula cha mchana kikawa usiku na usiku kuwa mchana kwa siku ya 3-9 unaweza kufanya 

Phone:+255767962720 / +255692720770


Comments

Popular posts from this blog

GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE

TOFAUTI YA DHAMBI,MAKOSA NA UOVU.

Madini ya Zink na Ugumba