Posts

UWEZO WA KUGHAIRISHA(SUSPEND) MAMBO

Kati ya sifa kubwa unayotakiwa kuwa nayo ili uweze kufanikiwa kimaisha ni uwezo wako wa kughairisha (suspend) mambo yanayokupa raha kwa muda mfupi ili kujenga mambo yatakayokupa furaha kwa muda mrefu. Mwanzoni mwa 1960 Professor Walter Michael wa chuo kikuu cha Stanford alifanya jaribio fulani la tabia ambalo limekua marufu sana miongoni mwa wanazuoni wa sayansi ya jamii na saikolojia. Jaribia hilo linajulikana kama “Marshmallow Experiment”. Katika utafiti huu aliwajaribu watoto wadogo kama 100 wenye umri wa miaka minne na mitano. Aliwaweka katika chumba na akawawekea kila mmoja kipande cha mkate mtamu wenye chocolate. Kisha akawaambia "Kama nikirudi nikakuta haujala huu mkate nitakupatia kimkate cha pili, ila kama nikirudi nikakuta umeshakula sitakupatia kitu." Kisha akawaacha kwa dakika kumi na tano (15) wakiwa peke yao chumbani halafu akarejea. Aliporudi alikuta matokeo kama ifuatavyo: 1. Zaidi ya watoto 60 walibugia ile mikate baada tu ya yule Profesa kutoka. Yani alipof...

HASARA ZA KULIPIZA KISASI

Usilipize Kisasi! Unasikia? Hata ikiwa umefanyiwa ubaya wa namna gani, Biblia inafundisha na inakusihi usilipize kisasi kwa huyo aliyekufanyia ubaya. Biblia inasema hivi: "Wapenzi, msijilipizie kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, kisasi ni juu yangu Mimi, Mimi nitalipa, anena Bwana" (Warumi 12:19) Kuna hasara zinazoweza kukupata ukiamua kulipa kisasi kwa mambo uliyofanyiwa ambayo hayakupendezi. Ikiwa ni masuala ya kikabila, usilipe kisasi. Ikiwa ni masuala ya kidini, usilipe kisasi. Ikiwa ni masuala ya kifamilia, usilipe kisasi. Ikiwa ni masuala ya kikazi, usilipe kisasi. Ikiwa ni masuala ya uhusiano wako na majirani zako, usilipe kisasi.Ndiyo! Usilipe kisasi! Kwa nini? Kwa sababu "imeandikwa kisasi ni juu yangu Mimi; Mimi nitalipa, anena Bwana". Lakini ikiwa utaona ya kuwa Mungu hawezi kukusaidia na ukaamua kujichukulia madaraka ya kujilipiza kisasi hasara zifuatazo hakika zitakupata! Hasara ya Kwanza: UTASHINDWA! Katika jambo lolote lile lil...

MESEJI NZURI ZA MAPENZI KWA UMPENDAYE KWA DHATI

Kuna miezi 12 katika mwaka…siku 30 katika mwezi…siku 7 katika wiki, masaa 24 katika siku…dakika 60 katika saa……lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu. **** I asked God for a rose and He gave me a garden. I asked God for a drop of water and He gave me an ocean. I asked God for an angel and He gave me you! **** Kuna vitu viwili zinavyoniamsha asubuhi na mapema: Alamu ya saa yangu na wewe ***** I will walk with you side by side for only one condition: hide your wings every time we walk together because the whole world might know that you're my angel! **** Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu; ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu; wangu una wewe tu! **** Do you take me to be your lawfully wedded text mate, in sickness or in health, through metering or not, till low bat do us part? **** Penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna moja niijuayo nikumtumia mapenzi hayo mtu asomaye meseji hii. **** Each of us is an angel ...

Afya ya Ngozi

Image
Je ungependa kuwa na ngozi yenye  rangi moja mwili mzima? Maana wengi wanaexperience kuwa na sehemu nyengine nyeusi kuliko nyengine kwenye mwili,  kama kwenye mapaja, chini ya maziwa nk,  au je una ngozi yenye mafuta sana na ungependa walau yapungue?  Au una ngozi kavu sana na ungependa kidogo ipate moisture?  Je unaexperience vipele visivyoisha kwenye ngozi? Au una utango utango au mmba kwenye ngozi? Ungependa ngozi inayong'aaa na laini kama ya mtoto?  karibu kwa mchanganyika mzuri sana wa kimataifa ambao hauna chemikali na hautachukua ngozi Yako. Kujua bei na jinsi ya kupata mchanganyiko wako nitumie message whatsapp 0767962720 or nipigie 0717962720

KUTOA MINYAMA UZEMBE MWILINI

MATUMIZI YA ALOE BODY TONING KIT ni mkusanyiko wa bidhaa 3 zinazotimika ili kuyeyusha au kuondoa mafuta (cellulite) yanayozidi ktk baadhi ya sehemu za mwili na kufanya mtu awe mnene. BIDHAA HIZO NI: 1.aloe body toner 2.Aloe body conditioning 3.Aloe bath Gelee. VIFAA VINAVYOTUMIKA SAMBAMBA NA BIDHAA HIZO 1. Loofah (dodoki la kuogea) 2. Cellophane wrap (plastic) kwaajili ya kufunga sehemu unayotaka kupungua. SEHEMU UNAZORUHUSIWA KUPUNGUZA NI 1. mikono kuanzia began mwisho kwenye kiwiko 2. Mapaja ya miguu mwisho magotin 3.tumbo na kiuno. HURUSIWI KUTUMIA KAMA UPO KWENYE 1. wakati wa hedhi 2. Wakati wa ujauzito  3. Wakati umetoka kufanyiwa upasuaji ambao ni  wa hivi karibu kama ni wa muda mrefu sawa ruksa. 4. Matatizo ya moyo. HATUA ZA KUITUMIA. 1. Nenda kaoge mwili mzima kwa kutumia ALOE BATH GELEE kwa kutumia loofah Dodoki. Hakikisha maeneo unayotaka kupunguza sugua zaidi kuondoa uchafu. Kisha jifute vzr na taulo lako. 2. Pima kwa tape maasure sehem unazotaka kupunguza kabla hu...

JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIKE AU WA KIUME

Image
WANANDOA au hata wasio na ndoa hujiuliza maswali haya. Nini nifanye ili nipate mtoto wa kike au kiume? Je, kuna dawa au vyakula vya kusaidia kupata mtoto ninayemtaka? Siku gani nikikutana na mwenzangu naweza kupata mtoto wa kiume au kike? Jinsia ya mtoto Mtoto hutengenezwa pale mbegu ya kiume inapokutana na yai la kike. Mbegu ya kiume hubeba vinasaba vya X na Y, wakati yai la mwanamke likiwa na vinasaba vya X peke. Ikikutana na mbegu ya kiume yenye kinasaba cha X na yai la kike (yenyewe yana vinasaba vya X peke yake) mtoto wa kike hutungwa. Mbegu ya kiume yenye kinasaba cha Y ikikutana na yai la kike, mtoto wa kiume hutungwa. Mbegu ya kiume Y + Yai la kike X = Mtoto wa Kiume. Mbegu ya kiume X + Yai la kike X = Mtoto wa Kike. Njia za Kupata Mtoto Wa Jinsia Uipendayo Mbegu za kiume zenye vinasaba vya Y huwa ni nyepesi, husafiri kwa haraka katika via vya uzazi vya mwanamke na huishi kwa muda mfupi ukilinganisha na mbegu zenye vinasaba X. Zenye vinasaba X huwa nzito za...

TOP TEN DISEASES IN TANZANIA

SHINIKIZO KUBWA LA DAMU/KITAALAMU BLOOD PRESSURE Maana ya Shinikizo kubwa la Damu:     Ni ongezeko la nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa inayochukua damu kutoka kwenye moyo kwenda kwenye viungo na tishu mwilini. Ukubwa wa shinikizo hilo la damu utegemea wingi na nguvu ya msukumo wa damu kutoka kwenye moyo na ukubwa wa mishipa inayopeleka damu mwilini. Kiwango cha kawaida cha shinikizo la damu mwilini ni 120/80mmHg au chini yake. Pale kiwango kinapokuwa 140/90mmHg au zaidi hali hiyo huwa ni shinikizo kubwa la damu. Dalili:   Kwa kawaida hakuna dalili za wazi zinazojitokeza pale ambapo una shinikizo kubwa la damu. Utafahamu kama una shinikizo kubwa la damu kwa kupimwa na mtaalamu katika kituo cha tiba. Endapo shinikizo lako la damu litakuwa liko kiwango cha juu sana unaweza: Ukaumwa kichwa mara kwa mara hasa sehemu ya kisogo Kutokwa na damu puani Ukapata kizunguzungu Kupata maumivu ya kifua Moyo kwenda kasi wakati umepumzika Kushindwa kufanya mazoezi kwa kushindwa kupu...