KUTOA MINYAMA UZEMBE MWILINI
MATUMIZI YA ALOE BODY TONING KIT
ni mkusanyiko wa bidhaa 3 zinazotimika ili kuyeyusha au kuondoa mafuta (cellulite) yanayozidi ktk baadhi ya sehemu za mwili na kufanya mtu awe mnene.
BIDHAA HIZO NI:
1.aloe body toner
2.Aloe body conditioning
3.Aloe bath Gelee.
VIFAA VINAVYOTUMIKA SAMBAMBA NA BIDHAA HIZO
1. Loofah (dodoki la kuogea)
2. Cellophane wrap (plastic) kwaajili ya kufunga sehemu unayotaka kupungua.
SEHEMU UNAZORUHUSIWA KUPUNGUZA NI
1. mikono kuanzia began mwisho kwenye kiwiko
2. Mapaja ya miguu mwisho magotin
3.tumbo na kiuno.
HURUSIWI KUTUMIA KAMA UPO KWENYE
1. wakati wa hedhi
2. Wakati wa ujauzito
3. Wakati umetoka kufanyiwa upasuaji ambao ni wa hivi karibu kama ni wa muda mrefu sawa ruksa.
4. Matatizo ya moyo.
HATUA ZA KUITUMIA.
1. Nenda kaoge mwili mzima kwa kutumia ALOE BATH GELEE kwa kutumia loofah Dodoki. Hakikisha maeneo unayotaka kupunguza sugua zaidi kuondoa uchafu. Kisha jifute vzr na taulo lako.
2. Pima kwa tape maasure sehem unazotaka kupunguza kabla hujaanza kutumia bidhaa rekod mahal. Kila sehem unayotaka kupunguza igawe Mara 3 kwa kuipima. Mfano kama tumbo.Pima juu kati na chin kisha jumlisha upate jumla. Mfano tumbo juu 20 kati 30 chini 25. Jumla 75. Fanya hvyo na paja au mikono kama nayo unaifanyia zoez la kupunguza. UTAPIMA TENA BAADA YA KUMALIZA ZOEZI KUJUA ZIMEPUNGUA NGAP KWA MUDA HUO.
3. Paka ALOE BODY TONER
eneo unalopunguza kisha masaji eneo hilo kwa dk 20 au 30 Fanya hvyo kwa kuelekeza ngoz yako ya eneo hilo juu na sio chini. HAPO UTAPATA JOTO KALI KADILI UNAVYOONGEZA HIYO BODY TONER YAKO.
4. baada ya kumasge kwa muda huo maeneo yote sasa ZUNGUSHIA PLASTIC FILM. zungusha ya kutosha kwa kubana kwa nguvu kila eneo unalolifanyia kazi kisha ikate na mkasi.
5.kisha kaa kwenye kiti upumzike weka miguu juu ya kiti usifanye kaz yoyote, usilale wala usitembee ikiwezekana angalia tu tv au soma gazet au kitabu relux. BAADA YA SAA MOJA KUPITA CHANA PLASTIC KISHA PIMA KWA MEASURE YAKO REKOD UONE POINT ZILIZOPUNGUA.
6. CHUKUA ALOE BODY CONDITIONG YAKO IPAKE KWA KUMASAGE KISHA ENDELEA NA MISHE ZAKO USIONGE MAJI KWA MUDA HUO LABDA BAADA YA MASAA MANNE KUPITA.
KUMBUKA:
tumia kwa wiki Mara 3. Mfano jumatatu, jtano na ijumaa. Baada ya kumaliza wiki ya kwanza na kuona maendeleo yake hapo utaendelea kuitumia kadili unavyopenda ila isiwe kila siku. FANYA MAZOEZ KWA MATOKEO MAZURI ZAID NA EPUKA KULA VYAKUKA VYA MAFUTA KWA WINGI.
KWA WANAOPUNGUZA TUMBO/ VITAMBI TUMIA BIDHAA HIZI ASUBH KABLA HUJALA CHOCHOTE KWA MATOKEO MAZUR ZAID
asante piga 0767962720 kwa mwongozo zaidi.
Comments
Post a Comment