PUNGUZA UZITO
PUNGUZA UZITO KWA KUFUATA HAYA:
Ili Kupungua Kunywa maji mengi asubuhi, kadri siku inavyokwenda anza Kupunguza kiasi taratibu....Usiku Kunywa Kidogo
Kwenye Chai yako asubuhi Punguza Kiwango cha Sukari, kama unakunywa Supu labda na Chapati. Punguza idadi ya Chapati pia usinywe Soda au maji papo hapo baada ya Kumaliza Kunywa Supu yako.
Anza Kufanya Mazoezi yafuatayo Asubuhi. Kutembea Kwa Haraka, Kukimbia, kuruka Kamba, kuendesha Baiskeli. Angalau Nusu saa Kwa siku.
Baadhi ya Mazoezi haya mfano kuruka kamba na Kukimbia unaweza fanyia Chumbani kwako
#Kula_Kwa_Wakati
Chai isizidi saa NNE asubuhi, Lunch isizidi saa Saba na Nusu, Dinner isizidi saa Mbili na Nusu Usiku.
Usiku Epuka kula vyakula vyenye wanga saana, Mafuta saana na Sukari saana na Chumvi Nyingi saana. mfano Ugali, Wali, Keki Chocolate, Chips Kwa Usiku tumia saana Matunda, au #virutubisho pamoja na Matunda ukisagia Pamoja. Hii itakusaidia kama Meal Replacement Kwa wakati Wa Usiku.
Kwenye Kila mlo wako mboga za majani na Matunda ziwe Nyingi zaidi. Angalau Nusu sahani. Kisha anza kula hizo, kama unabakiza iwe ni vingine sio hizo mboga.
Kwa wale ambao wanahitaji Matokeo ya Haraka Zaidi karibu Nikusaidie.
Utahitajika #Kununua Package ya Virutubisho Asili ambavyo tuko navyo ambavyo nitakuongoza ..check me inbox.
au nicheki whatsapp +255625748804 au +255767962720
Comments
Post a Comment