KIPATO CHA ZIADA
*FOREVER BUSINESS BUILDERS*
👉 *MILIKI BIASHARA YAKO LEO*
Hello!
Habari yako ndugu!
Naitwa *Emmanuel Mputa*,ni mwajiliwa binafsi na Mjasiriamali pia.
👉Leo napenda kukushirikisha Wazo kubwa la biashara na Kipato, ambalo mimi
Kwasababu nilikuwa na nia ya kutimiza Malengo yangu niliweza kulifanyia kazi na mpaka sasa nimetimiza malengo yangu mengi kwa kupitia fursa hii pekee.
*INAWEZA KUWA NI WEWE AU RAFIKI YAKO*
👉Je unafahamu watu wengi kwa sasa wanatafuta njia mbalimbali za kuweza kujiongezea njia nyingine za vipato ili kuweza kukidhi mahitaji yao ya kila siku?
Hii ni kutokana na gharama za maisha kupanda sana?
Hali hii hufanya wengi wanakuwa bize sana na baadhi hujikuta wakianzisha vitu mbalimbali Lakini kutokana na kutokuwa na ufahamu au ujuzi huo, hujikuta vikifa mapema na kuwaachia hasara pasipo kuingiza faida yoyote.
Lakini pia baadhi ya watu hujikuta wakiingia katika Minyororo mizito ya Madeni na Mikopo ili kuweza kukidhi mahitaji yao.
Na kama tujuavyo ukiingia katika mikopo utokaji wake ni mgum sana.
Sasa basi, *Forever Business Builders* Tunayo njia bora ya kukuwezesha kutimiza malengo yako kwa ufasaha sana.
*NINI TUNAFANYA*
*👉Tunashirikishana njia za kuweza kutengeneza vyanzo vingine vya vipato vya ziada pasipo kuharibu ratiba yako ya Kazi kwa Mwajiriwa, Ya Masomo kama ni mwanafunzi, na pia bila kuacha kile unachokifanya kama ni mwajiriwa binafsi*
Hivyo basi:
*Natafuta watu makini ambao wapo tayari kujifunza, kufundishika na wenye kiu ya mafanikio tuweze kushirikishana fursa hii*
Je Upo tayari kupata Mwongozo huu?
+255625748804
Comments
Post a Comment