Forever Malti-Maca
Malti - Maca
Hii inatokana na mmea unaitwa Maca au lepidium mayeni kutoka nchini Peru wenye historia ya kuongeza Stamina ya mwilini. Haina madhara na INA faida kubwa sana kwa wanaume na wanawake. Wanawake wa Peru wanatumia maca toka wakiwa wadogo kuanzia umri wa miaka 3 ili wawe na...
- Nguvu,
- Hamu ya tendo la ndoa, na
- Uwezo wa kuzaa.
Ina protein nyingi ktk mfumo wa amino acids na virutubisho muhimu vinavyosaidia kazi ya kuamsha ishara za hamu ya tendo la ndoa.
*FAIDA*
•Aphrodiasiac activity - Inaongeza hamu ya mapenzi kwa kina mama na kina baba kwa asilimia 180,stamina na nguvu
•Inasaidia kuondoa msongo wa mawazo - Depression
•Inasaidia madhara ya kukoma hedhi na homon
•Inarutubisha mayai
•Inaongeza idadi ya mbegu za kiume sperm count na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri
•Inabalance kiwango cha chuma kwenye damu
•Inapromote matumizi ya glucose kwenye damu kubadikishwa kuwa nguvu na si kugeuzwa kuwa mafuta.
Comments
Post a Comment