C9 DIETING
Hongera kwa kuanza safari yako ya kupungua lakini pia kuimarisha afya. Clean 9 ni program ya siku tisa ambayo itakusaidia kupungua lakini pia kuondoa sumu mwilini. Imegawanyika katika sehemu mbili siku 1-2 na siku ya 3-9. Ni muhimu sana kufuata maelekezo ili upate matokea mazuri. Hakikisha una rekodi kama muongozo ulivyo kwenye kitabu. Muongozo wa Siku 1-2 Hii ndio sehemu muhimu na ngumu zaidi kwani hautakula chochote ambacho hakija orodheshwa hapa. Hizi ndio ziku ambazo mwili unatoa sumu kwa kiasi kikubwa. Asubuhi Kunywa Garcinia Plus vidonge 2 Kunywa Aloe Vera Gel 120ml( Nusu Glass) Kunywa Therm kidonge 1 Kunywa Maji walau Glass moja. Fanya mazoezi walau Dk 30 Mida ya saa nne( katikati ya asubuhi na mchana) Changanya Fibre na glass moja ya maji Mchana Kunywa Garcinia Plus 2 Subiri dk 20 zipite Kunywa Aloe Vera Gel 120ml( Nusu Glass) Kunywa Therm 1 Changanya kijiko kimoja cha Ultra na maziwa yasiyo na mafuta ( skim milk) 300ml utaweka mchanganyiko katika chupa( shaker). Hii ni tamu sa...