SIRI KUHUSU TEZI DUME HII HAPA
ELIMU YA AFYA KWA WANAUME
Neno TEZI DUME kwa hivi karibuni limekuwa ni neno sio geni masikioni mwa watu wengi, ambapo wengi wao wakisikia neno hili moja kwa moja wanajua kuwa huo ni ugonjwa. Ni kweli ni ugonjwa wala hujakosea kabisa, lakini changamoto kubwa inakuja ni pale je ugonjwa huu unawahusu kina nani? Na unasababishwa na nini na eneo gani hasa la mwili wa mwanadamu unapatwa na tatizo hilo.
Leo jione mwenye bahati kupitia makala hii ndani ya ukurasa wangu ambayo yenye lengo la kukupa elimu mbalimbali inayohusu michakato yetu ya kimaisha ikiwemo na kupambana na kuhakikisha unakuwa na afya njema ili uweze kufanya michakato yako mingine kwa ufasaha.
TENZI DUME NI NINI?
Huu ni ugonjwa unawahusu WANAUME TU, hivyo kama ni mwanaume wa umri kati ya miaka 25-80 basi ujue wewe ni mtarajiwa wa ugonjwa huu au tayari una ugonjwa huu. TEZI DUME hiki ni kiungo kidogo sana kama punje ya karanga kinachopatikana chini ya kibofu cha mkojo kwa WANAUME ambapo punje hii huitwa TEZI kwa kuwa kazi yake ni kutengeneza maji maji yanayotumika kusafirisha mbegu za kiume, hivyo basi TEZI hiyo inauhusiano mkubwa sana na maswala ya uzazi kwa WANAUME inayokufanya uweze kupata watoto maana mbegu zako haziwezi kusafiri endapo TEZI hiyo itashindwa kuzalisha hayo majimaji.
TEZI hii iko kwa ndani na sio nje ya mwili maana wengi wanadhani TEZI DUME ni zile korodani hapana. TEZI hiyo iko kwa ndani chini ya kibofu kuzunguka mrija au njia ya mkojo. Tezi hii ni kama kiwanda kama vilivyo viwanda vingine mwilini maana ili kiwanda kifanye kazi kinahitaji malighafi hivyo basi TEZI hiyo inavirutubisho vyake muhimu vinavyopatikana kwenye vyakula ili iweze kufanya kazi zake vizuri.
Unazaliwa tu wewe mwanaume jinsi unavyokua kiumri nayo inakua kiumbo na ukifika umri Wa miaka 25 hapo inasimama haikui na haitakiwi ikue tena lakn hapohapo ikitokea ikakosa mahitaji yake muhimu itakayofanya ubalansi wa utanukaji ndipo tezi hiyo huvimba zaidi na kuathiri njia ya mkojo na pia kuanza huo ugonjwa unaoitwa tezi DUME maana ikivimba njia ya mkojo itabana na kufanya mambo ya uzazi na mkojo kuanza kuleta shida na hii inatokea sana umri kuanzia miaka 45 na kuendelea japo kuanzia miaka 25 pia unaweza kuwa MTEJA wa janga hili.
Kwenye picha hapo huu utaona kidole ndicho hutumika kupima ambapo huingizwa sehemu ya HAJA kubwa kuona kama imevimba au la, mfano Hapo juu pichani tayari imevimba na ukiangalia kwa makini utaona njia ya mkojo imebanwa na tayar mtu huyu anatatizo la tezi DUME.
Madaktari wengi wamethibitisha kuwa ugonjwa huu ni hatari ambapo madhara yake hupelekea kifo. Tezi DUME ni kiungo muhimu kama JICHO AU sikio, maana umuhimu wa viungo hivyo kila mmoja anafahamu hivyo utunzaji unafanya kwenye MBONI YA JICHO LAKO NA NGOMA SIKIO LAKO basi umakini huo ufanyike pia kwenye tezi zetu.
Madhara yake ni makubwa yakiwemo kutozalisha watoto, na hatimae Kansa ya kibofu kitakachopelekea kifo.
NINI KIFANYIKE SASA
Kwanza hakikisha somo hili la tezi DUME unalipata kwa ufasaha kwa kuwaona wataalamu wanaojua elimu ya tezi DUME. Pia ufuate mfumo wa maisha utakaokufanya upate vyakula vinavyokwenda kuleta tija kwenye kiungo hicho na endapo utaishi kwa kula vyakula ambavyo havitakuwa na mahitaji ya kiungo hicho basi tarajia kuwa mhanga wa tatizo hilo ambalo litapelekea upasuaji na hatimae kutozaa tena.
Unachotakiwa ni kujikinga ili usije kupatwa na tatizo NA sio kusubiri upatwe ndipo uanze kuhangaika .
Hakuna tiba ya tezi DUME nje na VYAKULA au VIRUTUBISHO
Kwa msaada wa kuanzia leo nipende kukupa mwongozo ili uweze kuipata elimu hii bure kwa kukaa na mtu ambae atakufundisha kwa undani tezi DUME ni NINI , DALILI ZAKE, MADHARA YAKE NA NINI UFANYE KWA SASA ILI UEPUKANE NA TATIZO HILI CHUKUA MAWASILIANO HAYA.
+255625748804
+255692720770
+255717962720
+255767962720whatasp
POPOTE ULIPO NDANI NA NJE YA NCHI UTAPATA KUUNGANISHWA NA MTU WA KUKUPA ELIMU NA USHAURI NINI UFANYE
ASANTE.
usisahau Ku share page hii kwenye magroup ya whatsap na Facebook bila kusahau mitandao mingine ya kijamii ili kila MWANAUME AWEZE KUJIFUNZA SOMO HILI
Comments
Post a Comment