Mbinu za mafanikio

#MBINU 101 ZA MAFANIKIO.

Katika kukuza biashara unaweza kupambana sana lakini kama utashindwa kujiangalia wewe mwenyewe usishangae kuona biashara haina mabadiliko.

Ili biashara ikue lazima wewe ukue. Kama kiongozi wa biashara lazima ujifunze sana kuliko mtu mwingine yeyote.

Lazima uifahamu biashara yako kuliko mtu mwingine yeyote. Lazima ujue unakokwenda na ukubali kujifunza kila siku.

Umesoma vitabu vingapi kuhusiana na biashara umayofanya mpaka sasa?
Unapokuwa na maarifa kichwani yanakusaidia kuleta suluhisho kwenye changamoto zinakujia.

Soma zaidi hapa... http://ow.ly/omv930emViF

Comments

Popular posts from this blog

GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE

TOFAUTI YA DHAMBI,MAKOSA NA UOVU.

Madini ya Zink na Ugumba