GROUP ZA DAMU

*Elimu juu ya group la damu*

*Blood group A.*
-ana acid ndogo mwilini
-ni wakimya sana
-ni watu wanaofwata utaratibu sana
-wapo kivivu vivu yaani hawapendi kazi wala kujituma
-ni wachoyo na wako kipekepeke wanapenda kujitenga na watu yani hawapendi kujichanganya sana na watu
- waoga sana pia
-sio rahisi kupata vidonda vya tumbo kwa sababu wana acid kidogo mwilini.
-hawatakiwi kula protein nyingi huwa inawasumbua na hasa nyama wanatakiwa wale kidogo sana au marachache sana coz hawana acid ya kutosha ya kuyeyusha nyama hiyo hivyo akila nyama sana inaoza tumboni mwake na kusababisha cancer ya utumbo.
-kutokana na kuwa kimya sana wanashambuliwa na blood pressure
-hawatakiwi kula machungwa mengi coz machungwa yana acid sana na wao hawana uwezo wakuifadhi acid nyingi mwilini
-wanapaswa kula sana mboga za majani kwa wingi.

*Blood group B*
-Waongeaji sana(B balanced)
Hawapaswi kula karanga sana wala mayai wala korosho wala kuku
-wanapenda sana cabich
-skimed milk ni mazuri kwao

*Blood group AB*
-hawaeleweki
-they have strong immue
- very unique in Character as A n B above

*Blood group +O-*
-wanamsimamo na ni mabauncer yani ni wababe sana hawataki kushindwa na kitu
-wanapenda watu sana na wanaushirikiano sano
-hawapendi uongo kabisa
-Wana acid nyingi sana
-wana hasira sana
-wananusa sana na ni watambuzi
-wanapenda ndizi mbivu maembe mananasi yalio iva.
-wanashauriwa kula machungwa kidogo coz wana acid ya kutosha
-wanatakiwa wapunguze sana vyakula vya ngano maindi nk
-hata wakila nyama mara kwa mara sio shida coz wana acid ya kutosha ya kuyeyusha nyama hiyo
-wanashambukiwa sana na cancer sukari presure vidonda vya tumbo na magonjwa ya kuambukiza
-wanapata shida wakikutana na group A kwan O wapo faster whle A ni slow.

CHUNGUZA GROUP LAKO KWA UMAKINI KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA NIULIZA KWA NAMBA ZIFUATAZO
+255767962720

Comments

Popular posts from this blog

GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE

TOFAUTI YA DHAMBI,MAKOSA NA UOVU.

Madini ya Zink na Ugumba