*BIDHAA MUHIMU ZA KISUKARI*

BIDHAA ZA FLP AMBAZO NI MUHIMU KWA KISUKARI:

Aloe Vera Gel Bidhaa hii in aloe vera kwa asilimia mia moja (100%) Aloe vera ni muhimu kwa mgonjwa wa kisukari kwa kuwa: ina madini ya cromium (inaboresha ufanisi wa insulin) sodium na potasium (muhimu katika kuleta uwiano wa pH mwilini), magnesium (muhimu kwa mfumo wa fahamu), zinc (muhimu katika mmeng'enyo wa vyakula vya wanga, mafuta na protein) hulinda ini dhidi ya sumu zinatotengenezwa na wagonjwa wa kisukari vitamin A, B, C na E (viondosha sumu mwilini) amino acid (vimelea vya protini) ni muhimu katika kujenga misuli ya mwili ambayo huwa dhaifu kwa mgonjwa wa kisukari Namna Ya Utumiaji Kopo moja lina lita moja na tumia nusu glass walau mara mbili kwa siku. Atumie kopo tano kwa kuanzia.

Lycium Plus Bidhaa hii inatokona na tunda maarufu China. Lycium inaboresha macho na nguvu ya kuona, inaongeza nguvu mwilini hivyo ni nzuri kwani wagonjwa wa kisukari huchokachoka haraka. Vilevile bidhaa hii ina moja ya viondosha sumu bora kabisa duniani iitwayo licorice flavonoid. Bidhaa hii pia ina amino acid na vitamin mbalimbali.   Namna Ya Utumiaji Kopo moja lina tembe 100, tumia tembe moja kutwa mara tatu

Field Of Green Bidhaa hii ni muhimu kwani ina virutubisho vifuatavyo in a protein, amino acids, enzymes na viondosha sumu. Ina majani ya barley yenye madini ya potassium, calcium, magnesium, iron, sodium, copper, phosphorus, zinc na manganese, Vilevile ina alfalfa yenye madini mbalimbali, vitamin A, B6, E na K), Pia ina cayenne pepper inayosaidia katika mfumo wa damu na mmemng'enyo wa chakula Namna Ya Utumiaji Kopo lina tembe 80, kunywa tembe moja mara mbili kwa siku

Ginchia Bidhaa hii ina mimea miwili mikuu, golden chia kutoka nchi za magharibi na ginseng kutoka nchi za Mashariki. Mimea yote miwili ina sifa kubwa ya uondoshaji sumu mwilini (antioxidants) Bidhaa hii pia ina vitamini A, B1, B2, C, and D, pamoja na thiamine, riboflavin, calcium, iron, sodium, potassium, capsicum,zinc, copper, magnesium, and manganese. Kwa pamoja zinaongeza sana stamina na ni nzuri mno katika kuboresha mzunguko wa damu. Namna Ya Utumiaji Kopo moja lina tembe 100, tumia walau tembe moja kutwa mara tatu.

Arctic Sea Bidhaa hii inatokana na mazalio ya samaki Ina Omega 3 na 9 ambazo ni muhimu sana katika kuboresha mfumo wa mzunguko wa damu mwilini na hivyo kumkinga mtu dhidi ya ongezeko la cholesterol mwilini. Namna Ya Utumiaji Kopo lina tembe 60, tumia tembe moja mara tatu kwa siku.

Absorbent C Bidhaa hii ya forever living ina vitamin C kwa wingi Mbali na sifa ya kuondosha sumu ya vit. C vilevile ni muhimu sana katika afya ya vishikizi hai au "collagen fibres" Collagen fibres ni muhimu katika kukujenga mishipa ya damu na sehemu nyingine muhimu za mwili ambazo huudhofishwa na kisukari. Vilevile ni vyema akatumia garcinia plus kwa ajili ya kupunguza unene kama ni mnene.

Nature Min Bidhaa hii ina madini mbalimbali kwa wingi kama phosphorus, calcium, Magnesium na iron. Inamsaidia mgonjwa wa kisukari kuongeza ufanisi zaidi katika hifadhi ya vyakula mwilini pamoja na kuboresha uzalishaji wa nguvu mwilini. Namna Ya Utumiaji Kopo lina tembe 180, tumia tembe sita kwa siku

BIDHAA NYINGINE ZINAZOTIBU KISUKARI
Kama mgonjwa alishapatwa na kiharusi ‘stroke' au ana kisukari cha muda mrefu sana atumie. ;~

Ginko Plus hii ni nzuri kama chakula cha ubongo.

A-Beta Care na

Forever Vision:

_Kama amepatwa na madhara ya macho aongeze na A-beta care na forever vision_.

*Multimarca na Royal Gel*: Kama ana shida za nguvu za kiume aongeze na multimarca na royal gel. 

Kama ana vidonda vya kisukari aongeze na Bee Propolis. Bee propolis huongeza sukari kwa baadhi ya watu hivyo kama hana vidonda asipatiwe na pia apewe maelezo ya kutosha juu ya hilo

Comments

Popular posts from this blog

GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE

TOFAUTI YA DHAMBI,MAKOSA NA UOVU.

Madini ya Zink na Ugumba