Posts

Showing posts from July, 2017

ASETS AND LIABILITY

*ASSET AND LIABILITY* *Asset* ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo. *Liability*ni kitu kinachotoa pesa mfukoni kwako. Ukitaka kuwa tajiri,hiki ndio kitu pekee  unacho hitaji kukijua na kukifanyia kazi. Matajiri wote wananunua Assets,lakini Masikini na wenye wenye maisha ya saizi ya kati wananunua Liabilities wanazodhani kua ni Assets. Watu wengi ukiwauliza una Asset gan unayomiliki atakutajia vitu kama,nyumba,gari,simu,laptop, duka. Ni sawa kama tu hivyo vitu vinakuingizia pesa,lakini kama havikuingizii chochote hivyo sio Assets bali ni Liabilities. Hebu tuangalie nyumba,kama una nyumba yako ya kuishi mwenyewe hiyo ni Liability kubwa sana,maana haikuingizii hata mia,badala yake inakutolea pesa,utalipa umeme,maji,ukarabati na malekebisho ya vitasa,taa,furniture n.k,hayo yoote yanatoa pesa mfukoni. Lakini kama nyumba umepangisha,hiyo ni Asset. Gari,kama unaitumia kwa matumizi yako binafsi ya kila siku hiyo ni Liability kubwa,itahitaji mafuta,service,na kam...

*BIDHAA MUHIMU ZA KISUKARI*

BIDHAA ZA FLP AMBAZO NI MUHIMU KWA KISUKARI: Aloe Vera Gel Bidhaa hii in aloe vera kwa asilimia mia moja (100%) Aloe vera ni muhimu kwa mgonjwa wa kisukari kwa kuwa: ina madini ya cromium (inaboresha ufanisi wa insulin) sodium na potasium (muhimu katika kuleta uwiano wa pH mwilini), magnesium (muhimu kwa mfumo wa fahamu), zinc (muhimu katika mmeng'enyo wa vyakula vya wanga, mafuta na protein) hulinda ini dhidi ya sumu zinatotengenezwa na wagonjwa wa kisukari vitamin A, B, C na E (viondosha sumu mwilini) amino acid (vimelea vya protini) ni muhimu katika kujenga misuli ya mwili ambayo huwa dhaifu kwa mgonjwa wa kisukari Namna Ya Utumiaji Kopo moja lina lita moja na tumia nusu glass walau mara mbili kwa siku. Atumie kopo tano kwa kuanzia. Lycium Plus Bidhaa hii inatokona na tunda maarufu China. Lycium inaboresha macho na nguvu ya kuona, inaongeza nguvu mwilini hivyo ni nzuri kwani wagonjwa wa kisukari huchokachoka haraka. Vilevile bidhaa hii ina moja ya viondosha sumu bora kabisa dun...

SABABU ZA MWANAMKE KUKOSA HEDHI KWA WAKATI

FAHAMU SABABU ZA MWANAMKE KUKOSA HEDHI /KUTOPATA HEDHI KATIKA MPANGILIO MAALUMU (AMEN Ndugu msomaji wa page hii, napenda kukushukuru kwa kuungana Nami katika page hii kuendelea kutoa elimu kwa wanawake na wasichana kuepukana na magonjwa mbalimbali yanayosababisha kukosa hedhi iliyo salama, kutokana na maswali yenu ya kwanini mwanamke huwa anakosa hedhi ilhali Hana mimba??nimeona ni vyema kuelezea hili tatizo kwa undani ili muweze kutambua vizuri tatizo hili ambalo kitaalamu linajulikana kama AMENORRHOEA AMENORRHEA NI NINI?? hii ni hali ya mwanamke ambaye amepevuka na kukomaa maumbile yake ya Uzaz kushindwa kupata hedhi/kupitiliza siku za hedhi ~kwa ufupi tatizo hili limekua likiwakumba na kuwaletea usumbufu wa kisaikolojia wanawake wengi wakidhani kwamba wamepata ujauzito nk, hata hivyo tatizo hili la kukosa hedhi linaweza kutokea awali au baadae kabisa maishani ~kuna aina mbili za tatizo hili (amenorrhea) (1)PRIMARY AMENORRHEA ~hii ni hali ya kukosa hedhi inayomtokea mwanamke/msichana...

JALI AFYA YAKO

IJUE AFYA YAKO Kwanini ni mhimu kudhibiti uzito au kitambi?? -kuwa na monekano mzuri -kuepuka kuzeeka mapema -kupunguza matatizo ya viungo kama miguu -kupunguza kasi ya magonjwa yasiyo ambukizi mfn.pressure, kisukari,kansa,moyo,figo,saratani ya tezi dume, kupata ugumba,upungufu wa nguvu za kiume na vimbe katika kizazi kwa wanawake. Je umewahi kujiuliza maswali haya ? a)Kwanini unanenepa? b)Kwanini unataka kupungua? c)Njia gani salama kiafya kutumika ili kupungua Njia kuu tatu watu wengi hutumia i) Mazoezi, vyakula bora na kunywa maji mengi ii) Kufanya diet mfn.kuacha kula au kutumia vyakula vyepesi, mboga na matunda (suicidal dieting) iii) Kutumia bidhaa lishe yaani nurition supplements. IJUE FOREVER C9 YENYE VANILLA AMINOTEIN Clean 9 ni program ya siku tisa iliyoandaliwa maalum kuuandaa mwili wako katika safari ya kupungua uzito, program hii ina bidhaa tano yaani      -Aloe vera gel      -Ultra lite vanilla      -Forever garci...