NI HALISI NA HAZINA MADHARA YOYOTE KWA MTUMIAJI….. HISTORIA FUPI


Bidhaa za Foreverliving zimeanzishwa na Bwana Rex Maugan ambaye ni mtu
hodari na aliyekuwa na ndoto. Kwa miaka mingi alikuwa akiwaza kuanzisha kampuni itakayo saidia watu afya na kipato. 
Mwaka 1978 alifanikiwa kupata
wazo na kualika watu 43 kushiriki
mkutano wa kwanza huko Phoenix, Arizona. Mkutano ndio ulikuwa chanzo cha kuanzisha kampuni ya ‘Foreverliving
products’ iliyosambaa nchi zaidi ya 130 duniani na kufanikisha ndoto yake.
MALIGHAFI
Bidhaa za Foreverliving hutengenezwa kwa kutumia mmea aina ya Aloe Vera na
Asali ya nyuki wadogo. Mmea wa Aloe Vera ni moja kati ya mimea ya dawa iliyojulikana tangu kitambo sana. 
Una zaidi ya miaka 2000 katika historia na Sayansi. Kuna zaidi ya aina 200 za mimea ya Aloe Vera . Mmea wa Aloe Vera una
zaidi ya virutubisho 75 ikiwa ni pamoja na madini 20, amino acid 18 na vitamin 12.
Aloe Vera ina uwezo wa kupenya mwilini na kufikia tishu za ndani kabisa, tabaka saba kwenda ndani. Bidhaa za Foreverliving hutumia aina moja tu ya
mmea wa Aloe Vera ujulikanao kama “aloe barbadensis miller”
FAIDA ZA ALOE VERA
Mmea wa Aloe Vera ambao umelimwa kwenye rutuba sahihi, kutunzwa vizuri na kusindikwa kwa uangalifu kama wafanyavyo Foreverling, huwa na faida
nyingi sana. Ina vichocheo sita vinavyoua vimelea vya magonjwa kama bacteria,virus na fangasi. 
Huchochea utengenezwaji
wa chembechembe mpya na tishu mpya zenye afya. Hufanya mfumo wa fahamu kufanya kazi vizuri na kutuliza matatizo
yanayoathiri mfumo wa fahamu.
Husafisha, kuondoa sumu mwilini na kufanya utendaji kazi wa mwili urudi katika hali ya kawaida.
Aloe Vera pia husaidia katika vidonda vinavyotokana na kuungua, kujikata,michubuko, vidonda vya tumbo, kung’atwa na wadudu wakali na wanyama.
Husaidia matatizo ya kutopata
haja, pia maumivu wakati wa haja kubwa na ndogo. Huondoa matatizo ya ngozi kama psoriasis, pumu ya ngozi (eczema), chunusi (acne) na dermatitis. Husaidia
mmeng’enyo wa chakula,kuongeza kinga ya mwili, kuondoa maumivu sehemu mbalimbali za mwili, matatizo ya usingizi,
uchovu wa mwili usioeleweka, ugonjwa wa koo, pumu, nk.  
ALOE VERA
hutibu matatizo ya kuhara na kutopata haja kubwa kiurahisi.
Aloe Vera ni salama na haina sumu kwa binadamu na wanyama pia. Kimsingi ni lishe na virutubisho hivyo haina madhara hata ikizidi mwilini. Yaweza
kutumiwa ndani ya mwili kwa kunywa, ama nje ya mwili kwa kupaka.
KWANINI UTUMIE FOREVERLIVING ALOE VERA?
Ili kupata Aloe Vera Bora na yenye
asilimia 100 ya virutubisho na lishe,uandaaji wake inabidi uanze toka shambani wakati wa kupanda. Mchakato
wa Foreverliving Aloe Vera huanza toka shambani wakati wa kupanda. 
Hupandwa kwenye rutuba ya kiwango kinachohitajika
ili kulinda ubora wake. Ikiwa shambani haitiwi madawa ya kuuwa wadudu wala mbolea za kemikali. Baada ya kuvunwa
husindikwa kwa uangalifu bila kuongezwa ladha zisizo za asili.
Husindikwa kwa utaalamu wa pekee (patented stabilization
process) na kuhifadhiwa kwa virutubisho vya asili ili isiharibike. Haichemshwi kwa kuwa joto huharibu virutubisho muhimu.
Aloe Vera haivunwi mpaka ifikishe umri wa miaka minne toka ipandwe. Hutumia
aina moja tu ya mmea wa Aloe Vera unaojulikana kama “aloe barbadennsis miller”. 
Bidhaa za Foreverliving Aloe Vera zimethibitishwa na baraza la kimataifa la kudhibiti viwango na ubora wa Aloe Vera liitwalo “International Aloe Science
Council”.
MWONGOZO WA BIDHAA NA TIBA ZAKE VINYWAJI NA BIDHAA. 
MWONGOZO NA TIBA
#15 ALOE VERA GEL (97% ALOE)
Ni uti wa mgongo na bidhaa ya kwanza kutengenezwa na
kampuni . Inatokana na Gel ya katikati ya jani la Aloevera.
Bidhaa hii imetengenezwa
kiumahiri na mfumo wenye hati miliki uitwao “Stabilization
Process”. Ni bidhaa ya kwanza kupewa muhuri na Internationl Aloe Science Council.
Bidhaa hii ina virutubisho kama
Vitamin 12 ikiwemo B12, madini 20, Amino Acid 18 na Enzymes.
Kinywaji hiki cha asili kinasaidia kuondoa sumu, kusafisha na
kusaidia mmeng’enyo wa chakula, kuondoa vimbe, kuponya vidonda na kusaidia uponyaji wa maradhi
kama Arthritis, pressure, kisukari,
vidonda tumbo, kukuongezea nguvu, kupunguza aleji
mwilini na mengine mengi. 
Ina uwezo wa kukaa miaka 5 kama
hakijafunguliwa na miezi 3 endapo itafunguliwa na kuhifadhiwa sehemu isiyo na joto kali.
#77 BITS & PEACHES
Hii ni bidhaa yenye Aloevera pamoja na matunda ya peaches,
yaliyoongezwa ili kuongeza Vitamin A ambayo ni Antioxidant
hivyo huondoa sumu
za free radicals,
husaidia kuporesha
macho kuona vizuri
mchana na usiku na
pia kuongeza landa
zaidi na hivyo inafaa
kwa watoto. 
Husaidia sana watoto kupata
hamu ya kula na
kuwaepusha na
maradhi mbalimbali.
Vinywaji haviuzwi
kutokana na ladha,
bali kulingana na faida
zilizomo. Vinywaji hivi
huingizia kampuni
faida ya 50% kila
mwaka. Bidhaa hii ina
asilimia 90 ya
Aloevera. Kinywaji
hiki kina sifa zote za
Aloevera Gel.
#34 BERRY NECTAR (88% ALOE)
Ni kinywaji chenye
Aloevera asilimia 88,
kina Vitamini, Madini,
Amino acids na
Enzymes kama
vilivyomo kwenye
Aloevera Gel.
Pamoja na Aloevera
yemeongeezwa
matunda ya Apple na
Cranberry yenye
Vitamin A, C na Pectin
hivyo husaidia
kusafisha na kuua
Bacteria na Fangas
kwenye mfumo wa
kuondoa taka mwilini
kama vile mafigo,
kibofu cha mkojo
(wakina baba wengi
wanasumbuliwa na
matatizo ya kuziba
kibofu cha mkojo.
Na kina mama pia wana
sumbuliwa sana na
U.T.I ambayo
huwafanya misuli ya
kuzuia mkojo kulegea),
mapafu, kufafisha
maini na kuondoa
sumu kwenye ngozi.
#196 FOREVER FREEDOM
Ni kinywaji chenye
Aloevera, Glucosamine
Sulphate, Chondroitin
sulphate, MSM
(methylsulphonyl
methane), Ascobic acid
(vitamin C) na
Tocopherol(Vitanin E).
Glucosamine Sulphate
na Chondroitin
sulphate hukaa
kwenye Cartilage (kole
jeupe linalotenganisha
mifupa). Husaidia
kulainisha viungo ili
kuzuia maumivu ya
kusuguana kwa
mifupa katika viungio,
tatizo linalowasumbuwa
wanawake wengi
wenye umri mkubwa
kwa kuwa mwili
unakuwa unashindwa
kuzalisha ute
(synovial fluid)
unaolainisha viungo
Sulphur yao ni
Organic sulphur na
Vitamin Cinatokanan
na ladha halisi ya
Chungwa.
Husaidia mifupa isichakae na
kurudisha majimaji
yaliyopo katikati ya
viungo ili kulainisha
viungo na kuondoa
maumivu na uvimbe,
hufaa pia kwa wanamichezo.
#262 FOREVER POMESTEEN POWER
Kinywaji hiki ni kizuri
kwa kulinda afya
kwakuwa ina Anti-
oxidants kwa wing,i
na ubora wa hali ya
juu. Ina “Xanthenes”
kwa wingi, hivyo Orac
(Oxygen Radical
Absorbance Capacity)
iko juu sana na huzuia
mwili kuathiriwa na
sumu za “free
radicals” zinazo leta
maradhi ya kansa.
Ni mchanganyiko
maalumu wa vitu
vitokanavyo na
matunda ikijumuisha:
Pomegranate, hii ina
polyphenol
antioxidants nyingi
kuliko redwine, green
tea, granberry au
Orange juice. Pia ina
Vitamin A, C na E kwa
wingi. Vilevile ina
Iron, Pear, Mangosteen
(garcinia mangastana.L),
Raspberry, Blackberry,
Blueberry, Grape seeds.
Huondoa Kansa,
athari za mionzi, na
kujisikia vizuri kwa
ujumla. Kunywa 30ml
yenyewe au changanya
na maji, Aloevera Gel
au Yoghurt(mtindi) au
“Custard”. Pia
unaweza kugandisha
kuwa “ice cubes”
#270 ALOE 2 GO
Ni kinywaji chenye
mchanganyiko wa
Aloevera Gel na
Pomesteen power
kilichofungwa pamoja
kwenye mfumo ambao
ni rahisi kubeba. Ina
sifa zote za Aloevera
na pomesteen power.
Inaongeza nguvu,
kuongeza sana kinga
ya mwili na ni
Antioxidant (inaondoa
sumu ya free radicals)
# 049 ALOE BLOSSOM HERBAL TEA
Ni chai ya pekee yenye
blossm (maua ya njano
yapatikanayo kwenye
mkonge wa Aloevera)
iliyochanganywa na
viungo vingine na
mimea 15 yenye
Calorie kidogo na
kuboresha afya.
Ina ladha ya kipekee
hata kama itanywewa
ikiwa ya baridi. Ni
kinywaji kizuri kabla
ya kwenda kulala
ambapo huondowa
uchovu, kusafisha
sumu mwilini, huleta
utulivu mzuri na afya
kwa mwili. Hii ni chai
isiyo na Caffeine.
VIRUTUBISHO
#206 FOREVER CALCIUM
Calcium ni madini
muhimu kwa ajili ya
kuimarisha mifupa na
meno. Vidonge vine
hutoa asilimia 100 ya
kiasi cha Calcium
itakiwayo kwa siku
katika mwili. Ina
1000mg ya Calcium
pamoja na 400iu ya
Vitamin D na 400mg
za Magnesium.
Nyongeza ya bidhaa
hizo mbili za mwisho
ni muhimu kusaidia
uwezo wa juu wa
unyonywji wa Calcium
mwilini.
Bidhaa hii ni muhimu
itumike wakati wa
kula chakula ili iweze
kuingia mwilini.
Damu ikikosa bidhaa
hii huiamuru
Parathyroid hormone
ichukuwe kwenye
mifupa na meno na
kusababisha mifupa
kuwa dhaifu na rahisi
kuvunjika
(Osteoporosis)
Foever Culcium
husaidia kuimarisha
mifupa , meno, mapigo
ya moyo, misuli,
ugandaji wa damu na
hormones kufanya
kazi vizuri.
# 048 ABSORBENT – C
Absorbent C ina
Vitamin C pamoja na
Oat bran iliyoongezwa
ili kupunguza kasi ya
umeng’enywaji wa
Vitamin C na pia
inasaidia kuondoa
Cholesterol katika
mishipa ya damu.
Bidhaa hii ni muhimu
toka enzi za kale kwa
ajili ya kuzuia Scurvy,
Gingervitis na
Hamorrhage.

Comments

Popular posts from this blog

GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE

TOFAUTI YA DHAMBI,MAKOSA NA UOVU.

Madini ya Zink na Ugumba