UKWELI KUHUSU MAISHA
Maisha hayabadiliki mpaka utakapoamua kubadilisha mfumo wako mwenyewe!!
Utakapoacha kuona CHALLENGES ni show stopper za kutofanya vitu...
Utakapoacha kuona CAPITAL ni kikwazo cha ww kutofanya biashara..
utakapoacha kuona usiku ni muda wa kulala na kugundua usiku ni muda mzuri sana wa kufanya EXTRA WORK kwa utulivu.
Utakapo acha EXCUSES za kuanza kwa sababu tu HUJAJIPANGA.
Utakapoacha kuamini WATU WANASEMA NINI KUHUSU NINI na kuamini UNAWAZA NINI KUHUSU HICHO KITU.
Utakapoacha kutegemea mshahara na kuanza kufanya vitu vitakavyokupa extra income na mshahara ubakie SUPPLEMENT tu yakufanyia shopping na kulipia parking NA SIO HELA YA KUISHI NA KULA...
Utakapoacha kuamini kwamba LAZIMA UAJIRIWE ili uweze kuishi na kwamba bila ajira UTAKUFA NJAA.
Utakapoacha kuangalia WALIOFELI kama sababu ya wewe kutokufanya walichofanya kwa hofu kwamba walifeli na wewe utafeli..
Utakapoacha kuamin kwamba ukimaliza shule lazima uajiriwe ili utoke kimaisha na kuanza kuwaza jinsi DIPLOMA/DEGREE uliyopata KUANDAA KITU CHAKO MWENYEWE.....
Utakapoacha kuogopa KU NETWORK na watu wakubwa na waliokuzidi kwa kuona kuwa UNAJISHUSHA NA KUJICHORESHA,sababu hata ukijifanya hutaki kuchoreka ndo unajichoresha coz utabaki SMALL FOR LIFE,na wao kuendelea kuwa BIG FOR LIFE, na gepu litakuwa kubwa zaidi coz watabaki wanajua na wewe hujui na unaficha KUTOKUJUA KWAKO.heri ujishushe ili ujifunze WALIWEZAJE ili na wewe uweze KAMA WAO.
*Maisha hayana miujiza...ukitaka maisha yabadilike-BADILISHA VYOTE UNAVYOFANYA SASA ORDINARLY...VIFANYE KWA UTOFAUTI EXTRA ORDINARLY..utaona UTOFAUTI
U dont expect to live the SAME LIFE and expect DIFFERENT RESULTS.
Mungu sio kalumanzila ametupa vyote tuvitumie kwa akili..ukifeli sio kosa la mungu,u r 100percent RESPONSIBLE FOR YOUR FAILURE..mungu alishaumba dunia na vyote,kushindwa kwako kutumia sio kosa lake.
BADILIKA SASA.
Phone: +255767962720
+255717962720
+255692720770
Comments
Post a Comment