JE MAISHA YAKO YANATEGEMEA AJIRA PEKEE?

BASI SOMA HAPA.

Kuajiriwa bila kuwa na kitu cha ziada cha kukupa kipato ni sawa na kujenga #gereza kwa mikono yako mwenyewe halafu ukaingia humo ndani ukajifungia halafu ufunguo ukamtupia #mpitanjia usiyemjua anakotoka wala anakokwenda. Eti kisa yeye ni binadamu eti ipo siku atanifungulia nitoke. Akienda moja kwa moja je, si utafia humo gerezani. 

Gazeti la #ForbesAfrica toleo la April 2016 limeandika kuwa watu waliofanikiwa kiuchumi wana vipato tofauti tofauti kati ya vitano hadi saba. Wewe una kimoja tu.  Think about it. 

Plan B inayokupa kipato cha ziada ni muhimu sana kwa mwajiriwa. Hata wafanya biashara wana vipato vingi. Bakhressa anapata hela kutokana na sehemu ngapi? Lakini fikiria dereva wa boti za Bakhressa.Huenda anategemea kipato kimoja tu yaani malipo kwa kuendesha boti. Halafu jiulize kati ya yeye na Bakhressa nani kasoma kuliko mwenzake. You see?

Usitumike tu kwenye ajira mpaka ujuzi wako na nguvu zako zije kuishia kwa mtu halafu kazini kwako wakishaona hivyo watakufanyia visa visa tu mpaka uache kazi mwenyewe kwa frustration. Halafu badala ukafanye mambo yako ungali na nguvu wewe unatafuta kazi nyingine ya kuajiriwa tena.

Sikia. Jenga maisha yako mwenyewe. Usitegemee hela ya mwisho wa mwezi. Kuna mtaalamu mmoja tajiri na mwanauchumi anasema "KUWA NA HELA NYINGI MWISHO WA MWEZI NI DALILI YA UMASKINI"

Hata kama wewe ni mwanafunzi sasa. Unaonaje ukijifunza kujenga kipato pembeni kuliko kuja kutegemea ajira tu..
Think about it.

Angalia matajiri. Hela zao nyingi hazipatikani mwisho wa mwezi. Ni any time. Jifunze sasa. Jenga kitu kingine pembeni part time. Kama umenielewa lakini. Maana kama hujanielewa labda utaelewa baadaye miaka ijayo siwezi jua.

ANGALIZO:
Kuna mambo ya kuzingatia kama utataka kufanya biashara ili kupata kipato cha ziada

1. Usiende kufanya kitu ambacho hakuna mtu mwingine anayekifanya atakayekuwa anakufundisha namna ya kuanza na kufanya nk.
2. Usianze kitu kwa gharama kubwa hususan kwa mara ya kwanza. Ukajikuta unakopa milioni 5, 10, nk ili ukafanye biashara mpya ambayo hata hayupo mtu wa kukuelekeza kwa dhati namna ya kuifanya. Utaishia kupoteza hela za watu na kudaiwa na labda kupata stress. Na kama utakuwa umeajiriwa bado utaathiri hata ajira yako sababu ya stress.
3. Fanya research kuhusu chochote ambacho mtu atakwambia ukafanye. Google. Angalia infirmation kuhusu hicho kitu. Ili ujiridhishe. Usisisimke tu.
4. Kama utaona moyo ni mwako kuwa kuna manufaa basi usijiulize mara mbili. Fanya. Maana ukianza kujiuliza na wakati umeshafanya research yako vizuri ni dalili tu ya moyo wenye woga woga na wasiwasi ambao kwenye biashara itakuwa kikwazo cha mafanikio. Jifunze kuamini utafiti wako mwenyewe.
5. Usiombe ushauri kwa mtu asiyejua hiyo biashara. Mfano umeamua kuuza nguo. Unaenda kuomba ushauri kwa muuza magazeti kuhusu biashara. Yeye biashara yake ni leo kwa leo. Yaani leo kama habari ni Lowassa. Kesho Habari ikawa Makongoro Nyerere mambo ya jana siyo dili. Sasa unadhani atakushauri nini?

KWA HIYO..
Kama unatafuta nini cha kufanya part time/muda wako wa ziada ili kujipatia kipato cha ziada pembeni na mshahara wako na hujajua nini ufanye na pia labda una mtaji mdogo tu basi tutafute kwa WhatsApp number ya WhatsApp........+255767962720 .............AU Piga
+ 255717962720

Comments

Popular posts from this blog

GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE

TOFAUTI YA DHAMBI,MAKOSA NA UOVU.

Madini ya Zink na Ugumba