Posts

Showing posts from May, 2016

MAGONJWA NA PRODUCT ZAKE

Image
Package za Forever Living Products. (Ziangalie kwa makini) Karibu 1. ASTHMA (PUMU) Aloe Vera Gel Argi + Bee Propolis A-BetaCare Absorbent C Gingko Plus Garlic Thyme Lycium Plus Heat Lotion 2. KIUNGULIA (HEART BURN) Aloe Vera Gel Fields of Greens Lycium Plus 3. WENYE TATIZO LA KUKOSA USINGIZI Aloe Vera Gel Royal Jelly Nature Min Aloe Blossom Tea 4. STRESS (MSONGO WA MAWAZO/ UCHOVU WA AKILI) Aloe Vera Gel Aloe Blossom Tea Bee Pollen A-Beta CarE Bee Propolis Absorbent C Royal Jelly Gin-Chia 5. LOW BLOOD PRESSURE Aloe Vera Gel Arctic Sea Royal Jelly Garlic Thyme Garcinia Plus 6. HIGH BLOOD PRESSURE Argi + Aloe Vera Gel A-Beta CarE Gingko Plus Garlic Thyme Nature Min Royal Jelly 7. GOITRE Aloe Vera Gel Bee Pollen Nature Min 8. HIV/AIDS Aloe Vera Gel Forever Immublend Absorbent C Nature Min Bee Pollen Bee Propolis Forever B12 Arctic Sea A-Beta Care Fields of Greens 9. U.T.I Berry Nectar A-Beta CarE Bee Propolis Garlic Thyme 10. JOINTS PROBLEM PACK (PACK YA MATATIZO YA JOINTS NA MIFUPA...

NI NAMNA GANI UNAWEZA KUWA NA UHUSIANO WA KUDUMU MUDA MREFU NA WENYE FURAHA TELE

Image
Habari za leo ndugu mfuatiliaji wa JITAMBUE,natumaini ni mzima wa afya njema.karibu tena katika ukurasa huu wa KUJITAMBUA,leo napenda kuongelea namna tunavyoweza kuwa na uhusiano imara na wa muda mrefu na wenzi wetu,kila mwanadamu mwenye hisia anapenda siku moja kuwa na mwenza sahihi atakayeishi nae muda mrefu katika maisha yake yaliyosalia hapa duniani katika uhusiano wenye furaha na mapenzi tele .Lakini asilimia zaidi ya 70% wengi tumejikuta tukiiishia katika uhusiano wa muda mfupi tena uhusiano ukiisha kwa uhasama zaidi,hapa leo naongelea jinsi ya kujenga mahusiano ya muda mrefu,wakati mwingine nitaongelea ni namna gani unaweza kumchagua mwenza sahihi.Asikudanganye mtu  maisha ni matamu pale unapokuwa na mweza sahihi katika uhusiano ulio bora,dunia yote utaiona ya kwako.Weng wetu tumekuta uhusiano wetu ukifa kwa kutojua njia au namna sahihi ya kuishi na wapenzi wetu,uhusiano sio jambo dogo sio jambo linalokwenda tu hivi hivi lenyewe,uhusiano au Ndoa bora unajengwa kila siku,kupe...

JE MAISHA YAKO YANATEGEMEA AJIRA PEKEE?

Image
BASI SOMA HAPA. Kuajiriwa bila kuwa na kitu cha ziada cha kukupa kipato ni sawa na kujenga #gereza kwa mikono yako mwenyewe halafu ukaingia humo ndani ukajifungia halafu ufunguo ukamtupia #mpitanjia usiyemjua anakotoka wala anakokwenda. Eti kisa yeye ni binadamu eti ipo siku atanifungulia nitoke. Akienda moja kwa moja je, si utafia humo gerezani.  Gazeti la #ForbesAfrica toleo la April 2016 limeandika kuwa watu waliofanikiwa kiuchumi wana vipato tofauti tofauti kati ya vitano hadi saba. Wewe una kimoja tu.  Think about it.  Plan B inayokupa kipato cha ziada ni muhimu sana kwa mwajiriwa. Hata wafanya biashara wana vipato vingi. Bakhressa anapata hela kutokana na sehemu ngapi? Lakini fikiria dereva wa boti za Bakhressa.Huenda anategemea kipato kimoja tu yaani malipo kwa kuendesha boti. Halafu jiulize kati ya yeye na Bakhressa nani kasoma kuliko mwenzake. You see? Usitumike tu kwenye ajira mpaka ujuzi wako na nguvu zako zije kuishia kwa mtu halafu kazini kwako wakishaona hiv...

MAMBO AMBAYO KIJANA HUTAKIWI KUYAFANYA...!

Image
MAMBO AMBAYO KIJANA HUTAKIWI KUYAFANYA...! (1). Kuchagua Kazi. Ni vigumu kupata Kazi ukiwa nje ya Kazi. Fanya Kazi uliyoipata upate Kazi unayoitaka. (2). Kuchagua sehemu ya kuishi /kufanyia Kazi. Maisha ni safari ndefu, maisha ni popote, si lazima kukaa mjini. Hauwezi kujua ni sehemu gan iliyobeba mafanikio yako. Chagua sehemu yenye FURSA na si yenye  MAGHOROFA. (3). Kuishi bila kuwa na malengo. Maisha si bahat mbaya au nzuri. Maisha ni mipango, Maisha yanaongozwa na malengo. Vile ulivyo leo ni matokeo ya jinsi  ulivyopanga jana, na vile unavyoishi leo ndivyo kesho yako itakavyokuwa. PANGA KESHO YAKO SASA. (4). Maisha Ya kuiga. Maisha yako si ya mwenzako, na ya maisha ya mwenzako si ya kwako. Si kila ukionacho ni lazima ufanye, chagua kipi cha kufanya na kipi cha kuacha. Kupitwa na jambo wakat mwingine sio USHAMBA ni BUSARA. (5). Kuishi juu ya kipato chako. Ishi kulingana na vile ulivyonavyo na si usivyonavyo. Kuwa na Busara katika MATUMIZI uepukane na MADENI yasiyo na ULAZIMA...

TATIZO LA UWEZO WA KUFANYA TENDO LA NDOA

Image
Tatizo la uwezo wa kufanya tendo la ndoa linazidi kukua miongoni wa wanandoa na wapenzi wengi. Takwimu za kitafiti zinaonyesha kuwa karibu ndoa 4 kati ya 10 zenye umri wa miaka 3 na kuendelea zinakabiliana na tatizo hili. Aidha wanaume 6 kati ya 10 wanatajwa kulalamikia upungufu wa nguvu za kiume na kuacha idadi ya wanawake wanaokabiliwa na tatizohilo kwa mujibu wa uchunguzi kubaki na asilimia 13. Pamoja na matatizo mengine kutajwa kuchangia upungufu wa nguvu za kiume na kushuka kwa msisimko wa tendo miongoni mwa wanandoa, uchunguzi umeonesha kuwa utumiaji holela wa vyakula hasa vyenye mafuta ni moja kati ya sababu zinazochangia kwa kasi tatizo hili. Kwa kuzingatia hilo, watafiti wa masuala ya uhusiano wa kimapenzi wamebaini aina kumi ya vyakula ambavyo vina uwezo wa kumuongezea mtu nguvu ya kufanya tendo la ndoa. Vyakula hivyo ni hivi vifuatavyo: PILIPILI Pilipili zilizocheshwa zimetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia msukumo wa usambazaji damu mwilini, ambao kwa kiasi kikubwa ndiyo unaowe...

Jinsi ya kumfanya mpenzi atangaze ndoa

Najua wengi mtakimbilia hapa mana'ke wanawake na ndoa ni kama vile inzi na kipindu-pindu au kashata na gahawa/kahawa anyway sitokuhakikishia kuwa nitakachokuambia kitafanya kazi kwani inategemea zaidi na mpenzi wako, malezi, mazingira,akili yake (yaani how open minded he is) na aina ya maisha yake. Nakumbuka siku moja nilikuwa na marafiki zangu fulani (well wadada nimesoma nao pamoja) mmoja akasema kuwa "James lazima nimfanye anioe" nikajiuliza kwa sauti kuu huku na cheka (kidhani ni utani) unamfanyaje mwanaume atangaze ndoa? Ninavyojua mimi ni kuwa mnalizungumzia swala zima kisha mnasikiliziana kama nyote mna nia moja then siku moja mpenzi (mwanaume ndio anatangaza ndoa/posa) si ndio....hiyo kisasa. Ya kizamani ilikuwa binti unajitahidi kuwa masafi na mwenye tabia njema kisha mwanaume anakuona kuwa wewe ni "ndoa type" then anakuja kwa wazazi wako kuposa kama sio wazazi wake wanakupenda kisha wanawashawishi wazazi wako wakubali uolewe na mwana wao wa kiume alaf...

MWANAMKE AKIPENDA.....

Image
Mwanamke akipenda anapenda kweli! Mwanamke akikupenda anakuwa na furaha, anakuwa anajivunia kuwa na wewe, na hujihisi furaha kuongea na wewe. Hupenda awe rafiki wa rafiki zako na ndugu zako, uvipendavyo na yeye atavipenda, atabadilisha mtindo wake wa maisha kuendana na mtindo wako. Haitajalisha ni kiasi gani utamuudhi, atakusamehe hata kabla hujamuomba msamaha, atachokifanya ni kusubiri tu umuombe msamaha kuthibitisha kama kweli umejutia kosa lako. Atajaribu kuwa na wivu na atakulinda kwani atahitaji uwe wake, wake peke yake na sio ku share. Atawakataa wengine wote wanaomtongoza kwa sababu ameona kesho yake ipo mikononi mwako. Haitajalisha ni kiasi gani uko mbali na yeye, atajilinda kwa ajili yako. Atalike na ku comment kila kitu unachoweka facebook hata kama ni cha kipuuzi (hahaahaa). Atakujibu kwa wakati text zako either watsapp, za kawaida au inbox ya fb. Hatajali kama unampa pesa au laa, kama ni tajiri au laa kwa sababu lengo lake ni kujenga maisha na wewe na sio kupass time ameona...

MWACHE AENDE....

Image
JIFUNZE KUMUACHA AENDE • Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha. MUACHE AENDE ! • Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi... MWACHE AENDE ! • Wewe ni wa thamani mno kulilia penzi. Mtu ambae anakupenda kweli atakuheshimu na hataku 'treat' kama uchafu. Kama atakuchukulia wewe kama uchafu... MUACHE AENDE ! • Usipoteze muda wako wa thamani kujaribu kumshawishi au kuomba mapenzi. Mtu mwingine pembeni anakupenda wewe kwa dhati, ila wewe uko busy mno kumuogesha nguruwe! Kwanini? MUACHE AENDE ! • Usikasirike pale mtu wako anapompenda mwingine tofauti na wewe. Siku zote hua ni vigumu kumshawishi NYANI kwamba Asali ni tamu kuliko ndizi... MUACHE AENDE ! • Mwanamke/mwanaume yeyote anaekuchukulia kirahisi siku zote atachukulia faida kwako, atakugeuza atakavyo kama chapati akijua hufurukuti, yeye sio ...