FAIDA ZA ALOVERA

ALOE VERA NI NINI?
Aloe vera ni mmea wa siku nyingi unaotumika kwa maelfu ya miaka kwa ajili ya matibabu mbali mbali ndani ya miili yetu.
Aloe vera ni mmea ambao ni rafiki wa familia yoyote.
Aloe vera ina faida tano ndani ya mwili wa mwanadamu.
Aloe vera ina nutrition 75, minerals 20, amino acids 18 na vitamina 12.
Zifuatazo ni faida tano za Aloe Vera katika mwili wa mwanadamu;
i) Penetration  -  Ina uwezo wa kuingia ndani ya ngozi ya
                                 mwanadamu katika tabaka la ndani kabisa
                                 na kutibu kama kuna tatizo limeanzia ndani
                                 mpaka nje.
ii)      Antiseptic   -  Ina mmea ambao unasaidia kuua wadudu,
                                fangasi na virusi mbalimbali vinavyoweza
                                kushambulia mwili.
iv)   Stimulate Cell growth-Inahamasisha ukuaji wa chembechembe zinazozaliwa katika ngozi ya mwanadamu.
v)     Settle Nerves – Ina uwezo wa kurekebisha mishipa ya fahamu katika mwili wa mwanadamu.
Clenser  - Inasafisha sumu ndani ya mwili wa mwanadamu.
Kwa ujumla Aloe Vera ina uwezo wa kusaidia;
Kuungua, Madonda ya tumbo, Mikato, Kung’atwa na wadudu, matatizo ya ngozi, kufunga choo na Asthma.
Tunavyo virutubisho vilivyotengenezwa katika Kampuni yetu ya Forever Living Product vikiwa na mchanganyiko wa Aloe Vera ndani yake;
1)  Bee Pollen
      Bee Pollen ni bidhaa inayotokana na mazao ya nyuki wadogo.
      Bee Pollen ina nutrition 96, inavitamini B1, B3, B5, B8, B12
      na Vitamini C pia ina minerals, enzymes, carbohydrates,
      proteins na amino acids.
      Bee Pollen hutumika kama asali ina mchanganyiko wa
      nutrition 22 zenye faida katika kujenga afya ndani ya mwili wa
      mwanadamu.
      Bee Pollen pia ina Lecithin ambayo inapatikana katika brain na
      chembechembe za damu.
     Faida Zake
      Husaidia kuondoa allergy, inaongeza nguvu mwilini, pia ni
      chakula ambapo ukaitumia kwa siku si rahisi kusikia njaa
      kwani ni chakula kinachojitosheleza mwilini.
2)   Bee Propolis
       Hii ni bidhaa ambayo ni antibiotis asilia inayotokana na mazao
       ya nyuki wadogo na haijachanganywa na kitu chochote zaidi
       ya mazao yatokanayo na nyuki wadogo.
       Faida Za Bee Propolis
       - Ni nzuri kwa wagonjwa wa Asthma
       - Husaidia pia wakati wa baridi kali
       - Husaidia kuondoa kikohozi
       - Husaidia kutibu tonsilits
       - Ni nzuri katika kuboost immune system ya mwili wako
3)   Royal Jelly
       Royal Jelly ni bidhaa inayotokana na mazao ya nyuki pia ina
       vitamini B5, B6 na ina zaidi ya Amino Acids 18, ina vitamin
       A, C, D na E na pia ina uwezo wa kuhifadhi vitamina B ndani
       ya mwili wa mwanadamu.
       Inasaidia kuongeza nguvu mwilini hivyo kama una tatizo la
       kupungukiwa na nguvu tumia hii bidhaa kwa kuondoa hilo
       tatizo.
       Pia ina anti bacteria na anti virus ambavyo kwa pamoja
       vinasaidia uponyaji wa vidonda mwilini.
       Inasaidia pia kurekebisha mfumo wa chakula ufanyekazi
       vizuri mwilini. (mmeng’enyo)
       Faida za Royal Jelly
Inasaidia kuondoa msongo wa mawazo
Inaongeza nguvu mwilini
Ni nzuri kutumiwa na akina mama katika kipindi cha menopause yaani kukoma siku
Inasaidia kuboresha ngozi kwa kuondoa mikunjo ya uzee
4)  Forever Calcium
      Forever Calcium ni bidhaa nzuri kuitumia kwani husaidia
      kujenga vizuri afya ya mifupa yetu kwani unapokosa calcium
      ndani ya mwili wako mifupa yako haitakuwa salama.
      Calcium inayopatikana kutoka katika kampuni yetu in mg 1000
      za calcium na mg 400 za vitamini na magnesium ya kutosha
      ambavyo kwa pamoja yaani vitamini na calcium vinasaidia kuli
      nda calcium iliyopo ndani ya miili yetu isipotee na kuiongezea.
     Faida za Calcium
Inasaidia kuleta afya katika mifupa ya mwanadamu kwa
     ujumla.
5)  Forever Multi - Maca
     Forever Multi Maca ni bidhaa nzuri hutumika kwa akina Baba
      na akina Mama. Ina mmea wa Peruvian wenye historia ya
      miaka zaidi ya 2000 ambapo ulitumika sana katika kuongez
      nguvu na hamu ya tendo la ndoa.
      Multi – Maca ilijulikana sana katika kusaidia kuleta nguvu
      wakati wa kufanya tendo la ndoa na kuongeza hamu kwa
      kiwango kinachotakiwa kwa mwanadamu.
      Kwa kutumia Multi – Maca hakuna madhara yoyote
      unayoweza kupata kwani ina mmea ambao ni asilia
      uliotumiaka.
     Faida za Multi -  Maca
Inasaidia kuondoa msongo wa mawazo.
Inasaidia kuamsha kufanya hali ya mapenzi
Inaongeza joto mwilini linalotakiwa
Inasaidia kulinda matiti yakae katika hali yake ya kawaida
Inasaidia kuondoa au kukinga mirija katika kibofu cha wanaume isizibe kusababisha prostate kansa yaani kansa ya kibofu.
6)  Forever Essential
     Forever Essential ni bidhaa ambayo hutengenezwa na kampuni
     yetu ya forever living products ina mchanganyiko wa vitamini
     mbalimbali na madini muhimu kwa pamoja vinahitajika katika
     mwili wa mwanadamu ili kusaidia mmeng’enyo mzuri wa
    chakula tumboni.
    Forever Essential huwa ina paketi 30 ndani ya box hivyo
    utaitumia kwa muda wa siku 30 yaani mwezi mmoja.
    Ni rahisi kwa ubebaji kwani inakuwa na bidhaa zifuatazo; Arctic
    Sea, A Beta care, Absorbent C, Bee Pollen na Nature Min.
    Faida Za Forever Essential
    - Inasaidia kuongeza nguvu mwilini.
7)  Fields of Greens
           Bidhaa hii ina mchanganyiko wa mboga mboga mbalimbali za
      majani na inakiwango kinachotakiwa kupatikana kwa siku
      katika mwili wa mwanadamu imetengenezwa maalumu kwa
      ajili ya kukupatia kiwango cha mboga za majani ambazo
      unatakiwa kuzipata kwa siku.
      Ina mchanganyiko wa Green – Barely yenye mchanganyiko wa
      madini, asali ambayo inasaidia kuleta nguvu na kuponya, ina
      majani ya ngano yenye mchanganyiko wa vitamini, madini, ina
      alfa alfa nzuri ambayo ni chanzo kizuri cha vitamini
      inayosaidia kutoa mafuta yasiyotakiwa mwilini.
    Faida za Fields of Greens
Inakupatia kiwango kizuri cha mboga mwilini
Inasaidia kujenga afya mwilini
Inasaidia kurekebisha kiasi cha sukari katika damu kwa wagonjwa wa kisukari
8) Forever Kids
     Forever Kids ni bidhaa nzuri kutumiwa na watu wote wenye
     umri kuanzia miaka 2 na 102.
     Ina mchanganyiko wa vitamini mbali mbali, zabibu asilia na
     ladha ya machungwa.
     Ina Phytonutrients ambayo inamchanganyiko wa matunda na
     mboga kwa wingi ambavyo ni muhimu katika kutupatia afya
     mwilini
     Kampuni yetu hukausha mboga mboga na matunda kwa
     kutumia jua kiutaalamu kabisa ambalo linatumika katika
     kulinda virutubisho vilivyomo katika bidhaa visiweze kupotea
     au kuharibika kiurahisi na ili ziweze kuwa na manufaa zaidi
     katika miili yetu.
     Bidhaa hii jinsi inavyotengenezwa ukaitumia ni sawasawa na
     kiwango cha matunda sita na mboga mboga za majani
     zinazotakiwa kwa siku.
     Haina sukari iliyoongezewa.
     Na haina ladha bandia bali wametumia ladha inayopatikana   
     katika matunda na mboga za majani.
     Inasaidia kuleta hamu ya chakula.
9)  Forever Ginkgo Plus
       Ginkgo Plus ni bidhaa muhimu kwani ni chakula cha ufahamu
      husaidia ubongo wa mwanadamu kufanyakazi katika hali ya  juu.
      Ginkgo Plus imetengenezwa kutokana na jani la ginkgo biloba
      na viungo vingine vitatu ambavyo ni;
1).Reishi Mushroom
Hii husaidia kuongeza kumbukumbu katika ubongo.
2).Schisandra Berries
       Mmea huu umetumika kusaidia kuondoa sumu mwilini.
3).Cured Fo Ti
   Mmea huu husaidia kuondoa mikunjo ya uzee katika ngozi.
       Faida za Ginkgo Plus
Inasaidia kuzuia mishipa ya fahamu isishambuliwe na maradhi mbali mbali.
Inasaidia kuyeyusha uvimbe, kizunguzungu na kurekebisha mzunguko wa damu uende sawa.
Inasaidia kurudisha nguvu zilizopotea
Inaondoa uchovu mwilini.
Inatoa milio ya filimbi inayojitokeza masikioni.
Inasaidia pia kwa wagonjwa wa puma
Inasaidia pia mishipa ya fahamu ifanyekazi vizuri.
10) Forever Lycium Plus
       Hii ni bidhaa nzuri iliyotengenezwa na tunda linalojulikana
       kama lycium lenye amino acids kwa wingi ambazo husaidia
       kujenga matofali ya proteini na vitamina ndani ya mwili wa
       mwanadamu.
      Ina licorice bioflavonoid extract yenye zaidi ya compound 150
       zenye manufaa mwilini.
       Ina bioflavonoids inayosaidia kuongeza nguvu katika mishipa
       ya damu ili mzunguko wa damu uende sawa na kupunguza
       uwezekano wa damu kuganda mwilini.
       Faida za Forever Lycium Plus
Inasaidia matatizo ya homa kali, vidonda, uvimbe, madonda
    ya tumbo, muwasho katika koo na kikohozi.
Inasaidia mmeng’enyo wa vitamin c na kuongeza vitamin c
Inasaidia kutoa sumu ndani ya mwili
Inasaidia tusishambuliwe na virusi mbali mbali mwilini
Vile vile ina vitamina A na E zilizo muhimu katika miili yetu
Inasaidia macho kuona vizuri
Inasaidia kuondoa maumivu katika viungo vya mwanadamu
Inasaidia wagonjwa wa kisukari
Inasaidia wagonjwa wa kukakamaa viungo
11)  Aloe  Blossom Herbal Tea
        Kampuni yetu pia inayobidhaa ya majani ya chai yenye aloe
        vera na aina 15 za majani na viungo mbalimbali
        vinavyotengeneza calories kiasi na ni kinywaji asili.
        Aloe Blossom Herbal Tea inakupatia ladha murua ipatikanayo
        katika kinywaji hiki.
        Ni kinywaji kizuri ambacho unatakiwa ukitumie kwa kuanza
        siku na wakati wa kulala.
        Ni kinywaji spesheli cha chai kisicho na kilevi ndani yake.
******JITAMBUE SASA *****
Phone us:- +255767962720
                  - +255717962720

Comments

Popular posts from this blog

GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE

TOFAUTI YA DHAMBI,MAKOSA NA UOVU.

ZIJUE SIKU HATARI KWA MWANAMKE KUPATA UJAUZITO[MIMBA]