Posts

Showing posts from December, 2015

KUTOA MINYAMA UZEMBE MWILINI

MATUMIZI YA ALOE BODY TONING KIT ni mkusanyiko wa bidhaa 3 zinazotimika ili kuyeyusha au kuondoa mafuta (cellulite) yanayozidi ktk baadhi ya sehemu za mwili na kufanya mtu awe mnene. BIDHAA HIZO NI: 1.aloe body toner 2.Aloe body conditioning 3.Aloe bath Gelee. VIFAA VINAVYOTUMIKA SAMBAMBA NA BIDHAA HIZO 1. Loofah (dodoki la kuogea) 2. Cellophane wrap (plastic) kwaajili ya kufunga sehemu unayotaka kupungua. SEHEMU UNAZORUHUSIWA KUPUNGUZA NI 1. mikono kuanzia began mwisho kwenye kiwiko 2. Mapaja ya miguu mwisho magotin 3.tumbo na kiuno. HURUSIWI KUTUMIA KAMA UPO KWENYE 1. wakati wa hedhi 2. Wakati wa ujauzito  3. Wakati umetoka kufanyiwa upasuaji ambao ni  wa hivi karibu kama ni wa muda mrefu sawa ruksa. 4. Matatizo ya moyo. HATUA ZA KUITUMIA. 1. Nenda kaoge mwili mzima kwa kutumia ALOE BATH GELEE kwa kutumia loofah Dodoki. Hakikisha maeneo unayotaka kupunguza sugua zaidi kuondoa uchafu. Kisha jifute vzr na taulo lako. 2. Pima kwa tape maasure sehem unazotaka kupunguza kabla hu...

JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIKE AU WA KIUME

Image
WANANDOA au hata wasio na ndoa hujiuliza maswali haya. Nini nifanye ili nipate mtoto wa kike au kiume? Je, kuna dawa au vyakula vya kusaidia kupata mtoto ninayemtaka? Siku gani nikikutana na mwenzangu naweza kupata mtoto wa kiume au kike? Jinsia ya mtoto Mtoto hutengenezwa pale mbegu ya kiume inapokutana na yai la kike. Mbegu ya kiume hubeba vinasaba vya X na Y, wakati yai la mwanamke likiwa na vinasaba vya X peke. Ikikutana na mbegu ya kiume yenye kinasaba cha X na yai la kike (yenyewe yana vinasaba vya X peke yake) mtoto wa kike hutungwa. Mbegu ya kiume yenye kinasaba cha Y ikikutana na yai la kike, mtoto wa kiume hutungwa. Mbegu ya kiume Y + Yai la kike X = Mtoto wa Kiume. Mbegu ya kiume X + Yai la kike X = Mtoto wa Kike. Njia za Kupata Mtoto Wa Jinsia Uipendayo Mbegu za kiume zenye vinasaba vya Y huwa ni nyepesi, husafiri kwa haraka katika via vya uzazi vya mwanamke na huishi kwa muda mfupi ukilinganisha na mbegu zenye vinasaba X. Zenye vinasaba X huwa nzito za...

TOP TEN DISEASES IN TANZANIA

SHINIKIZO KUBWA LA DAMU/KITAALAMU BLOOD PRESSURE Maana ya Shinikizo kubwa la Damu:     Ni ongezeko la nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa inayochukua damu kutoka kwenye moyo kwenda kwenye viungo na tishu mwilini. Ukubwa wa shinikizo hilo la damu utegemea wingi na nguvu ya msukumo wa damu kutoka kwenye moyo na ukubwa wa mishipa inayopeleka damu mwilini. Kiwango cha kawaida cha shinikizo la damu mwilini ni 120/80mmHg au chini yake. Pale kiwango kinapokuwa 140/90mmHg au zaidi hali hiyo huwa ni shinikizo kubwa la damu. Dalili:   Kwa kawaida hakuna dalili za wazi zinazojitokeza pale ambapo una shinikizo kubwa la damu. Utafahamu kama una shinikizo kubwa la damu kwa kupimwa na mtaalamu katika kituo cha tiba. Endapo shinikizo lako la damu litakuwa liko kiwango cha juu sana unaweza: Ukaumwa kichwa mara kwa mara hasa sehemu ya kisogo Kutokwa na damu puani Ukapata kizunguzungu Kupata maumivu ya kifua Moyo kwenda kasi wakati umepumzika Kushindwa kufanya mazoezi kwa kushindwa kupu...