UZITO MKUBWA NI HATARI
Uzito umekuwa tatizo kwa watu wengi sana hivi sasa kuanzia kwa watoto mpaka kwa watu wazima
Idadi ya watu wanaonenepa inazidi kuwa
Tunapoelekea ni pabaya zaidi ya tulipotoka
kubwa .MWISHO ITAFIKA MPAKA KWA WANYAMA
Athari za uzito mkubwa
Unene una athari mbali mbali katika mwili wa binadamu.
Tunaweza kugawa athari hizo katika makundi mawili
1.Kimwili
2.Kijamii
Athari za unene katika mwili
Unene hubomoa afya zetu na kutuongezea hatari ya kupata magonjwa yafuatayo:
* Kisukari
* Magonjwa ya moyo
* Kiharusi
* Kukosa pumzi wakati wa kulala
* Kuumwa kwa viungo(Osteoarthritis)
* Inapunguza uwezo wa kufikiri na ufanisi/uvivu
* Uchovu wa mara kwa mara.
Rahisi kupata vimbe,mfano shingoni,haja kubwa n.k,kutokana na mafuta mwilini.
Athari za unene kijamii
* Kujichukia
* Kutopendeza au kukosa size ya nguo
* Kutengwa, mfano kwenye mabasi n.k
* Kukosa kazi
* Ndoa.
Jiulize unatakiwa kupunguza kilo ngapi?
Kupunguza uzito ni kama vita,ili uishinde kumbuka ni lazima uweke bayana manufaa utakayo yapata ukipungua na pia athari utakazo zipata usipo pungua.Hii itakusaidia ushinde vita hii kwa urahisi.
Pata suluhisho sasa :
Phone: +255717962720
+255767962620
+255628358487





Comments
Post a Comment