Posts

GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE

Image
ZIFAHAMU GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE Kundi lako la damu linaweza kukufanya uwe dhaifu au imara katika kukabiliana na magonjwa fulani.Ni vema kujua kundi lako la damu sawa na ilivyo vema kujua mambo mengine yanayochangia kuwa na afya njema. Kujua kundi lako la damu Kunaweza kukuza uwezo wako wa kufahamu hatari zinazo kukabili kutokana na kundi la damu Ulilo nalo na kuepuka hatari hizo kwa kutumia mtindo wa maisha unaofaa.Hata hivyo, Kama vilivyo viungo vingine vya mwili, damu nayo ina changamoto ya kukumbana na maradhi mbalimbali, magonjwa yanayoathiri utendaji kazi wa damu yanaweza kugawanywa katika makundi kama vile ya kurithi, kuambukiza, mabadiliko ya kimwili na saratani tofauti. Damu ya binadamu imegawanyika katika makundi makuu manne ambayo ni A, B, AB, na O, binadamu yeyote lazima awe na moja wapo ya makundi hayo. GROUP A ✔Hawa ni vegetarians wanahitaji sana mananasi na zabibu kwa wingi. ✔ Mara nyingi ni wale watu ambao hawaambiliki yaani wakiamua kitu wameamua mpaka ...

TEZI DUME(PROSTATE)

HABARI Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo Kama  viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza maji maji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili. Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalowakumba wanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati  ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume. Ukuaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50. Takwimu k...

UANDAAJI CAKE

CAKE SIMPLE YA CHOCOLATE : Kwa hisani ya laylbakes Mahitaji: 🔸Unga wa ngano vikombe 2 🔸Sukari vikombe 2 unaweza punguza kidogo 🔸Cocoa 3/4 kikombe 🔸Baking powder vijiko 2 1/4  vya chai 🔸Baking soda 1/2 kijiko cha chai 🔸Chumvi kijiko 1 cha chai 🔸Maziwa ya maji kikombe 1 🔸Mafuta ya kula 1/2 kikombe 🔸Vanilla kijiko 1 1/2 cha chai 🔸Mayai 2 🔸Maji moto 3/4 kikombe NAMNA YA KUTAYARISHA: Hatua ya 1: 1. Washa oven joto 180°C. Paka  chombo chako cha kuokea mafuta au siagi. Weka pembeni Hatua ya 2: 2. Changanya mahitaji yote A katika bakuli kisha piga vizuri hadi mchanganyiko uwe laini Hatua ya 3: 3. Tia Maji moto kisha piga tena kidogo tu kuchanganya. (Mchanganyiko wa keki utakuwa mwepesi usihofie) Hatua ya 4: 4. Mimina mchanganyiko wako katika chombo ulichoandaa kisha oka kwa muda wa dk 30-50 au hadi kiasi ukichoma kijiti kati kinatoka safi. (Unaweza oka kwa mkaa pi...

LOVE LEADS  TO HOPE, HAPPINESS AND HEALING

LOVE LEADS  TO HOPE, HAPPINESS AND HEALING Live in Love. In order  to  live  a  fulfilled  life, one needs  to love himself or herself,  love your Maker, love  your  neighbour, love what  you have. Love  yourself.  Love  does  great things to a person. Love  enables you to accept  yourself  and  accept the other  people the way  they are.  If  you  do not accept yourself it is hard  to be happy and  excel  in life. Despite  your past and shortcomings, you need  to  know  that  you are  a special person. Love leads to great things   Healing ,  love restores health, improves the health, it is good for your well being.  People  have  wounds  and  these  wounds  can be healed  by  love. People are  looking for love, because  everyone needs love.   Happiness , ...

COUNT YOUR  BLESSINGS , BE  GRATEFUL 8 ways  of  being  happy 8 Cs

Focusing on your blessing, is counting them and having an attitude of gratitude, it is  the secret of peace and progress. People who are  grateful are generally happy. Ungrateful people become bitter and break people’s heart by their behavior.  Appreciate   God for what He has given   you, do not take it for granted.  When you  are  grateful  you will be: Content  , you will be thankful. Calm , you will experience  peace. . Comfort,  you  will encourage and inspire other people. Conquer complaints and comparison. Carry on with your work  and become more productive. The secret of  enjoying your work is  being grateful. Confident , counting your  blessing is  a good  habit that  helps your  attitude and  character. . Cheer up ,  It brings   joy, it  helps  you to be in  a good mood.    It  helps  your emotions ...

LOVE PEACE  LIVE IN PEACE BE A  PEACEMAKER  6Ps

Posted by Mputa Emmanuel on 27 Feb 201 8 LOVE PEACE  AND LIVE IN PEACE BE A  PEACEMAKER  6Ps Play your part well for peace  to prevail 1.Protect  peace, Living without peace is living in pain and problems. Control your  thoughts, words and actions.   Everything starts in the mind. You  need  to make sure that you  control all the  thoughts  that  are  in your mind. Weigh your  words, words  that  are not  controlled  cause  havoc. You  need  to choose  your words wisely. Speak with  love and  show  respect. Chose  your  words wisely.  Think before  you  speak and  act,  your  actions  can lead you  to the wrong  side of  life.    2.  Pray  for it, ask God to give you peace and pray for peace with other people (Psalms 122:6). Jesus  is   the prin...

Word of wisdom I

Rise up from the disappointment, if you wish to fulfill your dream. 1. Let go the past 2.Learn from it 3.Look ahead No matter the disappointment, you will stand, shine and succeed. Get rid of past hurts. Live with hope. Job 11:18  Giving excuses will stop you from starting and achieving great things.  Believe and be brave ; 1. Believe you are able 2.Begin to act 3.Behave in the right way It takes courage to possess the promised land. With excuses you lose your miracles. Stop giving excuses and exercise your faith.Numbers 13:27-30. Set a good example so that you build and bless people. 1.Speak with kindness 2.Settle any differences 3.Serve people without discrimination Your life needs to inspire those who are around you. When you set a good example people will follow.Share what you have you will solve a problem. Luke3:11. Your decisions define your life and affect your 1.Direction, 3.Determination, 3.Discipline Think twice and make wise decisions.  Allow God to guide your ...