Posts

Showing posts from July, 2018

JE UNAPATA CHANGAMOTO YA MENO AU UNAPATA TATIZO LA MENO MARA KWA MARA??

SOMA HAPA NA JIULIZE MASWALI HAYA! 1. Kwa nini meno yanauma wakati mwanzo hayakuwa yanauma? 2. Kwa nini unang'oa jino kisha tatizo lilelile linahamia jino lingine?? 3. Kwa nini kinywa chako hata ukipig a mswaki bado unatoa harufu mbaya? 4. kwa nini ukipiga mswaki fizi zinatoa damu? Meno ni muunganiko wa mfupa wa jino, Fizi na Mishipa. Mara nyingi watu wengi huwa pale wanapoumwa na jino wanakimbilia kung’oa jino eti dawa ya jino kuling’oa jambo ambalo si kweli. Tambua, unapoenda King'oa jino, unang'oa mfupa wa jino ila maradhi umeyaacha ktk fizi na mishipa ndani ya kinywa. Fahamu kuwa kwenye kinywa cha mwanadamu kuna bakteria wanaoishi mdomoni wanaitwa NORMAL FRALER. Bakteria hawa ndio wanaotengeneza ute wenye Acid unaolainisha chakula kwa haraka mdomoni. Lakini wanasababisha ugonjwa unaoitwa GINGIVAITES, ugonjwa huu husababisha fizi kutoa damu haswa unapopiga mswaki, lakini ukiachwa ukawa sugu unasababisha ugonjwa mwingine sugu  MACHODIFECE, Ugonjwa huu husababisha na ...

Mwanaume kudharauliwa ni uzembe

Ipo hivi mwanamke hata akikuzidi elimu, kipato au chochote kile sio sababu ya yeye kukudharau, wanaume tumepewa siraha directly kutoka kwa Mungu tangu siku ile ambapo nucleus ya sperm ilipoungana na nucleus ya ovum through fertilization na kuunda male zygote, silaha tuliyopewa ni KUTAWALA, Biblia inasema wazi pale ambapo Mungu anampa adhabu Eva alimwambia hivi”tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye ATAKUTAWALA”, Hata mtume Paulo ktk nyaraka zake alisema ”MWANAUME AMPENDE MKE WAKE KAMA KRISTO ANAVYOLIPENDA KANISA” alafu akasema kwa wanawake ”MWANAMKE ‘MTII’ MUMEO KAMA UNAVYOMTII KRISTO”, unaweza ona mwenyewe utofauti wa ‘kupenda’ na ‘kutii’, kutii ni kuwa chini ya mamlaka inayokupa amri. Sasa wanaume wengi siku hizi wanakosa hayo mamlaka ya’KUTAWALA’ na sababu kubwa ni kutojiamini tu, wewe ni mwanaume, wewe ni kichwa acha kupelekwa pelekwa, ipo hivi unatakiwa kutoa maamuzia ambayo mke wako anatakiwa either afu...