Posts

Showing posts from March, 2018

TEZI DUME(PROSTATE)

HABARI Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo Kama  viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza maji maji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili. Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalowakumba wanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati  ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume. Ukuaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50. Takwimu k...

UANDAAJI CAKE

CAKE SIMPLE YA CHOCOLATE : Kwa hisani ya laylbakes Mahitaji: 🔸Unga wa ngano vikombe 2 🔸Sukari vikombe 2 unaweza punguza kidogo 🔸Cocoa 3/4 kikombe 🔸Baking powder vijiko 2 1/4  vya chai 🔸Baking soda 1/2 kijiko cha chai 🔸Chumvi kijiko 1 cha chai 🔸Maziwa ya maji kikombe 1 🔸Mafuta ya kula 1/2 kikombe 🔸Vanilla kijiko 1 1/2 cha chai 🔸Mayai 2 🔸Maji moto 3/4 kikombe NAMNA YA KUTAYARISHA: Hatua ya 1: 1. Washa oven joto 180°C. Paka  chombo chako cha kuokea mafuta au siagi. Weka pembeni Hatua ya 2: 2. Changanya mahitaji yote A katika bakuli kisha piga vizuri hadi mchanganyiko uwe laini Hatua ya 3: 3. Tia Maji moto kisha piga tena kidogo tu kuchanganya. (Mchanganyiko wa keki utakuwa mwepesi usihofie) Hatua ya 4: 4. Mimina mchanganyiko wako katika chombo ulichoandaa kisha oka kwa muda wa dk 30-50 au hadi kiasi ukichoma kijiti kati kinatoka safi. (Unaweza oka kwa mkaa pi...