Posts

Showing posts from June, 2017

GOOD HEALTHY

Image
By Sharing As Well :):): Good health starts with good nutrition. With today’s farming methods depleting the natural mineral content of our lands, we can no longer rely on our foods to completely provide us with the essential vitamins and minerals that our bodies need. More people are turning to nutritional supplements as a means of getting sufficient quantities of those vital nutrients that can make a difference to their quality of health. Our nutritional supplement products are made from the finest ingredients, grown or collected from the best sources and produced with the most advanced technology. Each product retains its original nutritional value, encouraging both good health and peace of mind. ALOE VERA GEL Imagine slicing open an Aloe leaf and consuming the gel directly from the plant. Our Forever Aloe Vera Gel™ is as close to the real thing as you can get. The miraculous aloe leaf has been found to contain more than 200 compounds. A product of our patented aloe stabil...

PROSTATE CANCER(TEZI DUME)

Image
_*AFYA YA MWANAUME*_ Na Emmauel Mputa *JALI AFYA YAKO* _*LEO NATAKA NIIZUNGUMZIE CHANGAMOTO YA SARATANI YA TEZI DUME.*_ SARATANI ya TEZI DUME inashika NAFASI YA TATU kwa kusababisha VIFO vinavyotokana na KANSA kwa WANAUME duniani. Ugonjwa huu huwapata WANAUME wenye UMRI wa kuanzia MIAKA 45 na kuendelea, hata hivyo, SARATANI ya TEZI DUME kwa sasa inawapata sana WANAUME kuanzia MIAKA 25. Kwa ufahamisho tu ni kwamba NENO SARATANI ni JINA la UGONJWA ambalo hutokea wakati CHEMBE HAI au SELI katika sehemu fulani ya MWILI zinapoanza KUKUA bila kufuata UTARATIBU wa MFUMO WA MWILI na kutengeneza VIJIUVIMBE vidogo vidogo. Kwa kawaida SELI huwa ZINAJIGAWA, KUPEVUKA na baadaye ZINAKUFA. UTOKEAJI wa SARATANI ni pale ambapo SELI zilizotakiwa KUFA HAZIFI, zinaendelea KUISHI wakati HUOHUO zile MPYA zinazidi KUZALIWA. UKWELI ni kwamba WANAUME wote WANAZALIWA na TEZI DUME lakini baada ya BALEHE, TEZI DUME huongezeka UKUBWA mara MBILI. Na ikifika MIAKA 30 TEZI DUME huanza KUKUA haraka zaidi.Hii ni kwa sa...

MALEZI YA WATOTO

Utangulizi Nini maana ya malezi Malezi ni uangalizi wa karibu wa wazazi kwa mtoto wake kiroho, kiafya, kiakili, kitabia, Mungu ndie mwanzilishi wa watoto. Mungu alipomumba adamu, akamfanyia msaidizi wake Hawa, akasema zaeni mkaongezeke. Mwanzo 1.8. Katika somo hili tutajifunza namna ya kulea watoto wetu tuliopewa na Mungu. Malezi haya yatagusa maisha ya watoto ya kiroho na kimwili. Tutaangalia haki na wajibu wa mtoto kama Neno la Mungu linavyofundisha, yaani Biblia Takatifu. Kwa njia ya somo hili wazazi tunaweza kuutimiza mpango wa Mungu kupitia malezi bora ya kiroho na kimwili kwa watoto wetu, kwa kufanya kazi pamoja na Mungu. Katika Rum. 8:28 tunasoma: “Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema………” Hii ni pamoja na kazi ya kulea watoto; Mungu hufanya kazi hiyo pamoja na sisi. Malezi ya mtoto yanaanza lini? a) Kimwili  - malezi ya matoto yananza akiwa bado tumboni. Yeremia 1.4,5. mama huyu inabidi kuzingatia kanuni zote...