Posts

Showing posts from December, 2017

SABABU ZA KUPUNGUZA UZITO

Image
Sababu 18 zinazokulazimu upunguze uzito wako na uogope unene na zote ni hizi zifuatazo: 1. Unene unaongeza kiwango cha mafuta mwilini, ambayo huongeza uwezekano wa kupata kansa. 2. Unene unaongeza mafuta mwilini, ambayo hufanya matibabu ya kansa kuwa magumu zaidi. 3. Unene huongeza mafuta mwilini ambayo huushinikiza na kuubana moyo. 4. Mtu mnene huwa mvivu kufanya mazoezi, suala ambalo humuongezea zaidi unene. 5. Mafuta mengi mwilini yana madhara kwa ubongo. 6.Unene huathiri hata tabia na miamala ya mtu. 7. Unene huongeza uzito katika mifupa na viunga vya mifupa (bone joints). 8. Unene husababisha kibofu cha mkojo kibanwe suala linalosababisha matatizo mbalimbali ya mkojo. 9. Unene hupunguza uwezo wa kujamiiana wa mtu. 10. Unene hupunguza uwezo wa kuzaa na hata kusababisha utasa na ugumba. 11. Unene huweza kuufanya mwili upatwe kwa wepesi magonjwa mbalimbali kama vile kisukari na presha. 12. Watu wanene wanapofika hospitalini upimaji wao pia huwa wa matatizo. 13. Unene husababisha ujau...

Poster

Designing http://www.postermywall. com